RC Makonda atimiza ahadi ya matibabu ya Pascal Cassian

Thats the talk bro.! Wakikunyima kwenda Marekani wanakupa Akili zaidi lakini kwa wale mbwa wao walioko huku kwetu, na walio maarufu kwenye mitandao hawataacha kubweka sabbu wameamrishwa na mabwana zao kufanya hivyo.
Paul Makonda ni kiongozi mzuri sana, mwenye utu sana, anayesaidia sana jamii kwa kutoa misaada ya hali na mali kwa wahitaji.

Mabeberu ni watu wabaya sana, hawawapendi watu wa aina hii ya Makonda wanao jituma, kuchaoa kazi na kusaidia jamii, hivyo wamemuumbia zengwe kwa kumnyima viza ya kuingia Marekani.

Watanzania wazalendo tusikubali ubeberu huu wa Marekani, kwanza tuwasusie, hatutaki viza zao, kwani kwenda Marekani ndio nini?, tutakwenda kwingine kote tena kuna mahali ni kuzuri kuliko Marekani.
P

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Ujinga mtupu.

Sio marekani tu sasa hivi kwenda hata ulaya au Baadhi ya nchi za África itakuwa issue.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom