Recent content by Hedu

  1. H

    JamiiForums Tanzania Msimu wa ufuta Mei mpaka Agosti kila mwaka

    😂😂😂😂 ngoja waje
  2. H

    JamiiForums Tanzania Naomba ushauri nimekwama kimapenzi, niufuate moyo wangu au akili?

    Hakuna mwanamke wa dizaini iiii toka duniaaa kuuumbwaaa[emoji1787][emoji1787][emoji1787]
  3. H

    JamiiForums Tanzania Sababu zilizonipelekea kutokuwa karibu na mashemeji zangu

    Jinsia yako mkuuu.!
  4. H

    JamiiForums Tanzania Anadai tukapime ngoma

    Kupima kusikie tu kwa jirani aseee leo nimetoka kupima iyo presha nilokua nayo duuuh hatarii nashukuru mungu majibu yametoka fresh..,,nimeambiwa baada ya miezi mi3 nilud tena silud ng''oooooo
  5. H

    JamiiForums Tanzania Mjamzito kumnyima mpenziwe tendo la ndoa

    Ivi kwani mjamzito anaruhusiwa kushiriki tendo hadi kipindi mimba ina umri gani?
  6. H

    JamiiForums Tanzania Nini maana ya Kusimamia ukucha?

    Siti ya mbele kabisa ngoja waje wataaaaalam
  7. H

    JamiiForums Tanzania Nilichomfanya Mama Mkwe nadhani hatokisahau kwa muda mrefu

    Anawah au anachelewa
  8. H

    JamiiForums Tanzania Mrejesho: kesi nimeshinda

    Hongera sana mkuu wanawake so watu wazuri sio kwa kutaka kukugeuka uko hongera sana na pole kwa kesi...mkuu vp kuhusu ajira apo ofisini kwako mkuu please teh teh
  9. H

    JamiiForums Tanzania Vijana Wenzangu Miaka 14 - 25 Punyeto hatari

    Mkuuu ndo nataka nijiengue uko me kumenishinda ata uenyekiti siutaki kabisa
  10. H

    JamiiForums Tanzania Vijana Wenzangu Miaka 14 - 25 Punyeto hatari

    Iiiii kitu imenishinda kuacha kabisa aseee nmejaribu njia nyingi sana lakini wap,demu ninae lakini punyeto cjaaacha
  11. H

    JamiiForums Tanzania Unanchukuliaje mdada unaemtongoza leo, kesho anakupa kila unachokitaka kutoka kwake!

    Kweli kabisa mpenzi wangu nilie nae hakunisumbua kabisa tuna mwaka na nusu saiv sikupata shida kumtongoza wiki moja tu kila kitu mukideeeeeeee lakini huenda inategemeana na demu mwenyewe yuko vipi huenda ye masaaa tu chap
  12. H

    JamiiForums Tanzania Upigaji Punyeto: Zijue hasara/ madhara pamoja na njia sahihi za kuacha tabia hii

    Kuacha nyeto ni kazi kubwa sanaaa watu wengi wanajaribu kutoka lakini wanashindwa
  13. H

    JamiiForums Tanzania Kwa walio kosa vyuo (cheti & diploma)

    Mbona ukipiga simu chuo husika unaaambiwa dirisha limefugwa hadi mwakani Mimi nimeenda hadi Chuon kabsa wamenambia dirisha lishafugwa?
Back
Top Bottom