Vijana Wenzangu Miaka 14 - 25 Punyeto hatari

Iiiii kitu imenishinda kuacha kabisa aseee nmejaribu njia nyingi sana lakini wap,demu ninae lakini punyeto cjaaacha
[emoji15][emoji15][emoji15][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] unafaa kuwa mwenyekiti wa chama
 
Acha kunywa soda na juice za viwandani, kunywa maji mengi na kula vyakula vya asili, na mazoezi.nyeto endelea kupiga mara tano kwa mwezi hakuna shida.

Shida unapiga nyeto na bado unakula chips mayai
 
Kwanza ulitaka uache ili iweje. Mti wenye matunda ndo hupigwa mawe. Acha chama lichanue
Tatizo la nyeto bhana. I kuna kipindi niliacha kama mwezi hivi. Nikaamua kufanya kasherehe kidogo chw kujipongeza kwa kuacha nyeto, huwezi amini siku hiyo hiyo nilipiga nyeto yani ndo ikawa ari mpya nguvu mpya na kasi mpya. [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Harafu humu jf tukiondoa single mother tunaoongoza kusemwa ni sisi chama kongwe duniani. Nyie mnaoanzisha hizi pingamizi juu ya chama kongwe naomba mtuache. Kama mumeshindwa kuunga juhudi basi nyie fanyeni yenu. Mumekuwa mkisapotiwa na wanachama wasio makini na wanaoingia kwenye chama kwa stres zao kisha wanasingizia chama. We mtu anachukua demu anaahindwa kusimamisha, kwa mara ya pili anaogopa kuopoa demu kuogopa fedhea ya mwanzo anaamua kujiingiza kwenye chama. Eti nae siku ya kurudisha kadi anasema matatizo yamesababiswa na chaputa badala ya kusema kuwa matatizo yalimfanya ajiunge chaputa ila hakunufaika nayo kaamua kujichomoa
 
Tatizo la nyeto bhana. I kuna kipindi niliacha kama mwezi hivi. Nikaamua kufanya kasherehe kidogo chw kujipongeza kwa kuacha nyeto, huwezi amini siku hiyo hiyo nilipiga nyeto yani ndo ikawa ari mpya nguvu mpya na kasi mpya. [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Hahahaha mzeee ko bado unakinukisha [emoji23]
 
Baba nashangaa wengine chamani mwaka wa 18 huu[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji119][emoji119][emoji119][emoji119] Laba upigaji tofauti mzeee...
nadhani wengi wanafosi na kutumia nguvu nyingi mno
 
Tatizo la nyeto bhana. I kuna kipindi niliacha kama mwezi hivi. Nikaamua kufanya kasherehe kidogo chw kujipongeza kwa kuacha nyeto, huwezi amini siku hiyo hiyo nilipiga nyeto yani ndo ikawa ari mpya nguvu mpya na kasi mpya. [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Hahaha we jamaa umenichekesha aisee hahahah
 
Mkuu Ningependa Kufahamu Unapambanaje Kurudi Kwenye Hali Yako Ya Kawaida

Habari za mchana vijana wenzangu

Nikiwa kama kijana mwenzenu nimeamua kuongea na vijana wenzangu wa umri wa miaka 14-25 kwenye kundi hili wengi hujiingiza kwa suala la Punyeto au kujichua kwa sababu mbalimbali kama zifuatazo

1.Kujiburudisha wao binafsi
2.wengi wanawakuwa mashuleni wanaona bora wajiigize kwenye kujichua kuliko kudeal na wasichana (Mademu)

Mwisho wa siku wengi wanakuwa very addicted na hii kitu na kuona jambo la kawaida vijana wenzangu mimi ni waambie kitu kimoja unapofika umri wa 20 above wengi uwa chuoni, kazini na hivyo upatikanaji wa wasichana ni kama kumsukuma mlevi ila shida inakuja hii punyeto ulioanza zaidi ya miaka 5 iliyopita inaanza kuonyesha madhara yake kama ifuatavyo

1.Uume kushindwa kusimama na ukisimama unalegea
2.kukosa humu ya wanawake na ukiamua kuwa nao hakuna unachofanya

Mwisho naomba nioongee haya

1,Wakuu punyeto ina madhara najua wengi wanaitetea ila sisi wahanga wa hili suala tunalijua kama sio ya mwili (physical) basi ya kiakili (psychological) na kama haujaona sasa subiri yanakuja

2.Matatizo ya wanawake kutoshika mimba na nguvu za kiume hayataisha chanzo kikubwa ni hii punyeto

MIMI NIMEACHA NIPO KUPAMBANA KURUDI HALI YA KAWAIDA NAKUSHAURI ACHA KIJANA MWENZANGU WANAWAKE WENGI WAPO UTAISHIA KUWAANGALIA HAPO MBELENIView attachment 1215755
 
Watu wanapiga punyeto mpaka miaka 55 na wako fit, wala tezi dume
 
P

Picha tafadhali
 
Back
Top Bottom