Mrejesho: kesi nimeshinda

Mrejesho: kesi nimeshinda

Bai Lizzy tunakunyang'anya umiliki kissa umeonekana kama mwizi.
Chai dot com
 
Hahahahaha. Naona meno yote njee, lkn mda ule ulivokua unalalamika eliza kutaka kukdhulumu dah.

Hongera
 
Hongera sana mkuu wanawake so watu wazuri sio kwa kutaka kukugeuka uko hongera sana na pole kwa kesi...mkuu vp kuhusu ajira apo ofisini kwako mkuu please teh teh
Wakuu ,leo nina furaha san,

Nimeshinda kesi dhidi yangu na Eliza,

Na nitakuwa namiliki kila kitu na amepigwa na faini juu ,maana ameonekana kama ni mwizi,

Hahaaaaaa haaaaaaa,

Usiku mwema kwenu

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom