nashukuru mzima
JF-Expert Member
- Jul 11, 2017
- 1,011
- 1,915
- Thread starter
- #61
Wanayoitetea ni waongo kabisa hawajui madhara na hayajawahi kuwatokea
UWONGO WA SGR HUU:
Nimebobea kwenye hiyo dhambi kwa miaka 8 nikipiga goli chache sana ni 4, lakini mara nyingi nilikuwa napiga goli 6 kwa kila siku.
Mikono ina misuli na ukakasi wa ugumu tofauti na ulaini wa uke ulioumbwa kwaajili ya kuingiliwa na uume.
Niliishiwa nguvu za kienyeji na nilinunua sana mitishamba kwa Wamasai hadi kunywa supu za pweza kuepuka aibu ya goli 1 tu mbele za warembo WANYAMWEZI, WAIRAKI, WAMERU, WACHAGA, WAMERU, WAWARANGI/WANYATURU, WASUKUMA.
Punyeto ina madhara kiroho, kimwili, kisaikolojia kwa 75% kwa Mwanaume.