Ungesema timu ya simba haina morali ningekuelewa lkn kwa Taifa stars umejidanganya! Najua ww ni mpinzani wa kila kitu hata maandiko yako unaweza kuyapinga maana una akili mbaya za kichadema na Diktera wenu wa kudumu Mbowe
Kama unaona unaibiwa unaenda kufanya nini? Mbona ukienda bar ubaiwa pia na hulalamiki? Je na kwa wale madada poa mbona husemi wawe na degree?
Acheni magugu na ngano vikue pamoja
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.