Babangida94
Member
- Mar 9, 2018
- 30
- 19
Tushajua umeagiza android mpya kutoka nje....hongera mkuu.
hiyo Lugha vipi unaweza kubadilisha? kama hauwezi nitafute nikubadilishie kwa gharama ya sh elfu 50,000/= 🙂Habari wakuu niliagiza mzigo wangu wa simu tarehe 22/09 tarehe 23/09 ukatumwa kuja tanzania kutokea china.
Juzi nilihofia kupoteza nikaandika na uzi humu
Nilitumiwa kwa njia ya posta mzigo ukaingia bongo tarehe 26/09 baada ya hapo ukatumwa kuja mpaka moshi nilipo kwa sasa siku ya ijumaa leo nimeenda posta nikaupata
Nimeagiza zaidi ya mara 40 na cjawah kuibiwa
Niliagiza kupitia mtandao wa aliexpress
Sijatozwa kodi wala chochote sijalipa hata mia.
View attachment 885457View attachment 885460View attachment 885461View attachment 885464View attachment 885465View attachment 885462
MSIOGOPE KUNUNUA VITU MTANDAONI KUNA VITU VIZURI SANA HUKO EBAY,AMAZON,ALIEXPRESS NA ALIBABA
Huo ndo mrejesho wangu
Kwani wewe unaweza kusafiri bila kuwa na kisafirishio?. Eg gari, baisheli, pikipiki na hata punda.Kwahiyo mzigo ukitumwa kwa njia ya posta ni lazima ukija uingiywe kwenye vile visanduku ?
OK,sawa kwa hiyo kama naishi dar ni lazima niwe na sanduku la posta!??siwezi kutumia la mtu mwengine kwa makubaliano..?Download app ya alibaba
Point yake ni kwamba wabongo wengi including yeye huwa wanaogopa kununua vitu online kisa wataibiwa sasa anataka kuhakikishia watu kuwa watoe hofu!Kwahiyo point yako ni nini sasa sijakuelewa.
[emoji23][emoji23][emoji23]Posta? hahaha hicho lazma walikiona kimeo, angiza mzingo wa milion 1 ucheck picha lake
Asante sana na mm nina mizigo mingine nayo inakujaMIMI PIA NI SHUHUDA WA KUNUNUA VITU MTANDAONI NGOJA NIKUUNGE MKONO
.....SIJAWAHI KUTAPELIWA MANA NAHAKIKISHA SELLER AKO NA REVIEW ZA POSITIVE NA ORDER MINGI NA MUDA WAKE SOKONI....NIMEAGIZA CHINA NA USA..NIMESAFIRISHA KWA UPS,FEDEX,DHL NA POSTA (CHINA POST,ALIEXPRESS NK)......NIMESHANUNUA AMAZON,EBAY,DHGATE,BandH,ALIEXPRESS NA ALIBABA...NAANDIKA NIKIWA NASUBIRI MZIGO DHGATE WIKI HII NA ALIEXPRESS NEXT WEEK......ALIBABA MZIGO WA 300$(UPS)CARD READER,DHGATE 350$ (POSTA)SANDISK),B&H 450$(DHL)EXTERNAL HARD DISK,ALIEXPRESS (POSTA) 0.5-100$ VINGIVINGI ILA ULIOKO NJIANI NI FLASH DISK 54$,DHGATE ULIOKO NJIANI NI MEMORY CARD 56$,AMAZON 250$ NA EBAY 186$ EXTERNAL DISK KWA USA ADRESS KWA MYUS WALINITUMIA KWA FEDEX.......NASHUHUDIA TENA SIJAWAHI KUTAPELIWA NA IKITOKEA BASI NADAI ELA YANGU KWA WENYE SOKO KWA REFUND PAYPAL,ALIPAY MONEY BACK GUARANTEE......
DO IT FOR UR OWN RISK
View attachment 885590
View attachment 885591
View attachment 885592
View attachment 885593
Anawapanga awapige, minyumbu nayenyewe inafuata mkumbo tuHongera kila unapoagiza unahesabu Mara ya 40 aisee...una kumbu kumbu nzuri na pia uagize Mara zote hizo hii moja ndio uwe na wasi wasi? Sawa