Recent content by heaven is for real

  1. heaven is for real

    Msaada jamani, kuna mdada nimempenda humu JF lakini nashindwa kumwambia

    Unampenda kivipi? Upendo wako kwake una matarajio gani baada ya kumwambia kwamba unamoenda? Nikijua hilo naweza kufunguka zaidi kukupa ushauri unaotaka mkuu. Sent from my TECNO-J7 using JamiiForums mobile app
  2. heaven is for real

    Wanayofanyiwa watuhumiwa wa ugaidi Segerea

    Mkuu umesema maneno mazito sana, Mungu atusaidie maana utu unazidi kupotea kila siku.
  3. heaven is for real

    Moto mkali wawaka Julius Nyerere International Airport; wadhibitiwa

    Ndugu zangu, hizi ni taarifa za ukweli, sio kila mtu anaweza kufanya "UTANI" na mambo yanayohusu "USALAMA" wa mwingine, bila shaka tutapata tena vyanzo vingine vya habari hii.
  4. heaven is for real

    Moto mkali wawaka Julius Nyerere International Airport; wadhibitiwa

    Labda ni hitilafu ya umeme, Bombardier bila shaka ipo salama, isije ikamtumbua mtu usiku huu.
  5. heaven is for real

    Moto mkali wawaka Julius Nyerere International Airport; wadhibitiwa

    Nimeambiwa mkuu, ila ni taarifa za kweli, nimewasiliana na mtu aliepo eneo la tukio.
  6. heaven is for real

    Moto mkali wawaka Julius Nyerere International Airport; wadhibitiwa

    Wadau kuna mwenye taarifa kuhusiana na moto unaoendea kuwaka uwanja wa ndege wa Julius Nyerere usiku huu? Nyongeza shughuli zote zimeamishiwa Terminal one. ====== Habari Zaidi ======= Moto mkubwa umezuka kwenye Uwanja wa Ndege wa Julius Nyerere (JNIA) usiku wa leo na kusababisha taharuki...
  7. heaven is for real

    Mugabe asweka ndani mashoga hadi washike ujauzito

    Hahahaha, jama jama, tusitafute Mugabe ni nani katika mahakama, ukweli ni kwamba, yeye kama Baba wa nyumba, kama Raisi wa Zim amefanya hivyo ili kuweka nidhamu nyumbani kwake, so for me he is right, hata hivyo taratibu za nyumbani kwa mwezio zinaweza zisikupendeze wewe. Kuna mtu kwake milango...
  8. heaven is for real

    Balozi Juma Mwapachu ajivua uanachama wa CCM, hajaamua kujiunga na chama kingine

    People'sss, yote tisa, kumi ni kwamba mabadiliko lazima. Hakuna aliyewahi wala kuchelewa. Huu ndio wakati sahihi.
  9. heaven is for real

    Unataka mwanamke/msichana akupende fanya haya

    Hayo ni kwa upande wako mkuu. Kila mbuyu una shetani wake, guys! never copy and paste haya mambo ya mahusiano, unaweza kujaribu kwako na hali ikawa mbaya zaidi. Kila mwanamke/mwanamme ana mtoko wake kwenye mahusiana. Kazi kwako.
  10. heaven is for real

    Msaada: Jinsi ya kutengeneza bomu

    Unamaanisha bomu gani? Au zile nyama za kuchoma zinazoitwa bomu. Jina lingine zinaitwa "MTURA" kama ndio hivyo unawezapata mtu wa kukuelekeza.
  11. heaven is for real

    Yanayojiri Bungeni Dodoma: Alhamisi, January 29, 2015

    Safi sana Lissu.... kama asingekomaa wangepewa dark.3 "hatuwezi kuchezewa namna hii"
  12. heaven is for real

    Vurugu bungeni zasababisha Bunge kuahirishwa asubuhi hii

    Jamani vp mjengoni kuna nini? Update plzzz
  13. heaven is for real

    Wasomi vyuo vikuu Dodoma watoa tamko kuunga mkono tamko la Jumuiya ya Wanazuoni

    Wasomi feki nyie. Hamjui hata CAG. Mkikosa hela tunajua... kelele nyingi na kujipitishapitisha.
  14. heaven is for real

    Mfanyabiashara Matei apata ajali na kufariki

    NDUGU YANGU UMESEMA UKWELI KABISA. Ni kweli kabisa biblia inasema hivyo. Na haitabalika. Mshahara wa dhambi ni mauti. Lazima pia tujue yapo mambo ambayo mtu anafanya kwa tamaa zake na mwisho wake ni umauti. Yakobo 1: 14-15 inaeleza vzr kwamba mtu hujaribiwa kwa tamaa yake, na tamaa ikiisha...
Back
Top Bottom