Recent content by haya bwana

  1. haya bwana

    Manchester United (Red Devils) | Special Thread

    Michael Oliver
  2. haya bwana

    Manchester United (Red Devils) | Special Thread

    Refarii naskia kastuck na kama game itachezwa itadelay atleast nusu saa
  3. haya bwana

    Manchester United (Red Devils) | Special Thread

    Hii source ya habar ndo changamoto
  4. haya bwana

    Je, utamkumbuka Hayati Magufuli kwa mambo gani?

    Kuna kikundi kimekua kikisisitizia kauli ya marehemu mwendazake ya"mtakuja kunikumbuka",kana kwamba tulifanya kila liwezekanalo kumuondoa madarakani. Mwendazake kachukuliwa na Muumba,na zaidi hata tulipotaka kuujua ukweli juu ya shida yake kama anaumwa ama vp,ili tumuombee apone maake tulikua...
  5. haya bwana

    Baada ya Malalamiko ya wananchi, Serikali yasitisha bei mpya za vifurushi

    To be a hero, create a problem then solve
  6. haya bwana

    Naomba kujua: Gharama za convoy ikipiga kambi Chato nani analipa?

    Halaf kama mnakumbuka mwaka jana alikaa hivi hivi baadae tukaambiwa mwanae ana corona,na saivi kakaa huko kuna story za corona kurejea
  7. haya bwana

    Naomba kujua: Gharama za convoy ikipiga kambi Chato nani analipa?

    Utaratibu upo clear,kuna makazi ya Rais,kuna ofisi ya Rais,vile vile kwa wa chini yake
  8. haya bwana

    Arsenal (The Gunners) | Special Thread

    Europa umesahau
  9. haya bwana

    Ungependa kitu gani kingine kipelekwe Chato?

    CCM=CHATO CHAMWINO MAGOGONI
  10. haya bwana

    Ulichotegemea ndicho ulichokikuta ndani ya ndoa yako?

    Wanawake wengi wabinafsi sana
  11. haya bwana

    Ulichotegemea ndicho ulichokikuta ndani ya ndoa yako?

    Yaani we jamaa umemaliza,siongezi neno
  12. haya bwana

    Manchester United (Red Devils) | Special Thread

    Maake naona tunawawazia Liva tuu wakati Guardiola gari imewaka
  13. haya bwana

    Manchester United (Red Devils) | Special Thread

    Man city akishinda izo game zake 2 anakua na point 35,kazi ipo kwa liva mwaka huu
  14. haya bwana

    Manchester United (Red Devils) | Special Thread

    Imagine kuna bruno na greanlish....hataari
Back
Top Bottom