Recent content by have lexy

  1. H

    JamiiForums Tanzania Kwanini wachungaji wanasauti za kukoroma wakiongea ila ma Padre wanasauti zao za asili?

    Sidhani kama mapadri wana sauti za asili, maana huwa wanafundishwa kuongea,kusoma chuoni kwao.
  2. H

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Timeless club bangers ( club bangers zisizo chuja )

    I wanna make love In this club USHER ft young jeezy Pon de play RIHANNA
  3. H

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Inakuaje unachunguza simu ya mumeo?

    Mwanaume siku zote haongozwi na feelings kama wanawake so huwezi kutendea kazi kitu ambacho hujadevelop Sidhani kama kutojiamini ni sababu maybe useme mwanaume (not in general)sikuzote ni muongo but mwanamke ni mkweli sema mnafiki. Hivyo wakinamama wana chance kubwa kudevelop iko kitu, basi tu...
  4. H

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Inakuaje unachunguza simu ya mumeo?

    😂 😂 mimi sikumuuliza nilitoa tu silent treatment huku naendelea kupekua for months. Jamanii nilikonda kwa stress huku mwenzangu anakoroma tu vizuri dah! but on the bright side stress zilinipunguza nikawa portable, demand ikapanda😂 MBONA ALIKOMA
  5. H

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Inakuaje unachunguza simu ya mumeo?

    Binafsi pressure haiwezi kupanda lakini nakumbuka nishawahi soma text za beibe nikiwa kitandani..tumbo likaunguruma wee ikabidi niende kusomea chooni. Ujumbe ulikuwa mzito mpaka nikasindikizwa na kuharisha.
  6. H

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Inakuaje unachunguza simu ya mumeo?

    Ni kweli usemayo though mwanamke huwa ana sixth sense flani, mpaka akujudge ujue lipo hata kama mume amefuta texts and all that.
  7. H

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Inakuaje unachunguza simu ya mumeo?

    Yes ndio maana ya you are innocent until proven guilty, sasa ataprove-je?
  8. H

    JamiiForums Tanzania Leo tuwatambue Wanyakyusa kwa majina yao

    Hujakosea Ndiye
  9. H

    JamiiForums Tanzania Mbeya: Mwalimu wa Shule ya Loleza Girls afunga Bweni na kuwalaza Darasani Wanafunzi

    Jamani! Nguvu zote mmeelekeza kulaumu walimu, huyo anaitwa Matron ni mtu mwingine kabisa
  10. H

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Inakoelekea huyu mwanamke anataka kunigeuza Roboti la kufanyia mapenzi

    Mhhhh! halafu ukiwa mzee ndo unaanza kumganda mkeo, sijui kwa nini mkeo hagundui tu jamani...nimesoma hadi nimeumia
  11. H

    JamiiForums Tanzania Leo tuwatambue Wanyakyusa kwa majina yao

    Elizabeth Mwakijambile
  12. H

    JamiiForums Tanzania Kajala na Paula wana gundu gani?

    Msanii yeyote mkubwa, hatakiwi kuwa na mahusiano serious( ya wazi) kwa sababu ya fanbase ambayo inaweza kusababisha brand kushuka au kupanda. Hiki ndicho kinachoonekana kwa Marioo. Angewaiga kina Diamond, Michael Jackson angefika mbali.
  13. H

    JamiiForums Tanzania What's the story: Ulipataje kazi unayofanya au uliyowahi kufanya?

    Hata mimi jamani...Danger coy lakini 2015
  14. H

    JamiiForums Tanzania Wizara, Mameneja Mikoa na Wilaya kesho msitukatie umeme tuwaone wawakilishi wetu

    Kama ulivyodhani! Umeme umeshakatika nahisi utarudi jioni😅
Back
Top Bottom