Mimi naitwa Hassan Said ni muajiriwa wa Mamlaka ya Bandari umri wangu ni miaka 34,urefu sm170,na Elimu ni ya chuo sijawahi kuoa na sina mtoto .Najitokeza kutafuta mchumba ambae atayekuja kuwa mke wangu.Awe muislamu,umri kuanzia miaka 22 mpaka 28,Elimu angalau kuanzia kidato cha nne,awe mrefu...