Nafikiri kimya kitokakanacho na busara ni adhabu tosha kama jibu kwa mamlaka husika na kwa watekelezaji wenyewe. Wamerusha ngumi wanataka ijibiwe ili agenda itekelezwe. Nawasihi wakristu wasirushe ngumi bali wawaache warushe ngumi nyingi tu kadri wanavyoweza. Mwisho wa siku, wataanza kurushiana wenyewe. Muda utaamua.......
ukitafakari sana utagundua kuwa kwa sasa ZAnzibar sio sehemu salama sana ya kuishi hususani kwa Wakristo.