Recent content by Hassann msimbe

  1. H

    JamiiForums Tanzania Hii ndiyo Sheria ya Jamhuri inayompa RC nguvu ya kumuita mwananchi yeyote anayeishi mkoa wake!!

    Amekataa kutii sheria ipi? Ya mkuu wa mkoa?
  2. H

    JamiiForums Tanzania CCM ndiyo imetufikisha hapa sio upinzani

    Wasalam, ndugu zangu kwenye ukweli lazima tuseme ukweli kwani msema kweli ni mpenzi wa mungu. Tuache unafiki kuhusu vita dhidi ya dawa za kulevya lawama zote nazielekeza kwa CCM kwani ndo wametuongoza kwa miongo yote tangu tupate uhuru;na pia ccm ndo wametengeneza na kukumbatia uozo na uchafu wa...
  3. H

    JamiiForums Tanzania Kadhia ya Makonda: Dhana ya bunge halina ‘’meno’’ inakufa kifo cha mende.

    HAKUNA ALIYE JUU YA SHERIA SUBIRI HAUTAAMINI KITACHOMPATA BWANA MDOGO MAKONDEKO,SHERIA NI MSUMEMO.
  4. H

    JamiiForums Tanzania Kwanini Makonda asifunguliwe kesi ya msingi Mahakamani?

    ACHA UCCM VITU UNAVYOOANISHA HAVIFANANI,JIONGEZE MKUU.
  5. H

    JamiiForums Tanzania Mzee wa Upako ajitaja katika sakata la madawa ya kulevya

    MZEE ANABUSARA NYINGI MNO PAMOJA NA HEKIMA.
  6. H

    JamiiForums Tanzania Dharau Kwa Bunge Na Wabunge: RC Makonda Siyo Wa Kwanza

    Ni kweli bunge ndo linapanga bajeti hewa ktk awamu hii ya tano;yaani limekuwa kibogoyo kwa ufupi serikali imevunja na kuingilia mihimilu yote.
  7. H

    JamiiForums Tanzania Kisheria, Paul Makonda asipofika Kamati ya Maadili nini kitatokea?

    MKUU NI KWAMBA BUNGE LITAMKA RAIS KUTENGUA UTEUZI WAKE,KUMBUKA KWA MUJIBU WA KATIBA YETU MBOVU YA MWAKA 1977 MBUNGE NI MUHIMILI UNAOJITEGEMEA KATI YA MIHIMILI3 YA SERIKALI,MINGINE NI MAHAKAMA NA SERIKALI YENYENYEWE.SASA KWA MUJIBU WA KATIBA MBUNGE LINA MAMLAKA YA KUISIMAMIA SERIKALI NA...
  8. H

    JamiiForums Tanzania Madawa ya Kulevya na aibu ya Tanzania - Yatosha sasa!

    Wasalam, nimefatilia waliokamatwa na mh. Makonda mpaka leo cjaona majina ya wauza unga bali mateja. Naomba nieleweke sina nia ya kutetea hawa mateja;napenda hii vita iwahusu wauzaji na sio wavuta bangi. Inasikitisha kuona mtandao wa wauza unga hauguswi na badala yake tunaona kina TID na wenzake...
  9. H

    JamiiForums Tanzania Ushauri, Maoni, Mapendekezo na Pongezi kwa Mkuu wa Mkoa wa Dar, Paul Makonda

    INASHANGAZA WAMEKAMATA MATEJA WAUZAJI WAKO WAPI?
  10. H

    JamiiForums Tanzania Maajabu: Serikali haiwajui Vigogo wa Dawa za Kulevya hadi inataka Wema awatajie?

    WAKIKAMATWA HABAKI MTU CCM.
  11. H

    JamiiForums Tanzania Makonda: Watuhumiwa madawa ya kulevya kuanza kupandishwa kizimbani leo au kesho

    Wasalam,nimeona taarifa ya habari na nalipongeza jeshi la police imebaki mahakama kutenda haki. Naomba anaejua tofauti kati ya unga na bangi; maana nilipenda zaidi kuona wauza unga wakipandishwa kizimbani maana hawa ndo hatari zaidi,kisha watumiaji.
  12. H

    JamiiForums Tanzania Kuhusu viwanja vya mpira: Polepole kasema Uongo

    Mahakama ipi?
  13. H

    JamiiForums Tanzania MZEE KIKWETE POPOTE ULIOPO LIOKOE TAIFA.

    Tumwombe mzee wetu atuweke hayo majina kwa nia njema, maana mh makonda atawakamata fasts;hasa km ni wakazi wa dar.
  14. H

    JamiiForums Tanzania Serikali iweke adhabu ya kifo kwa wauzaji wa madawa ya kulevya na majangili wa faru na tembo

    Ikifika hapo CCM watanyongwa wote
Back
Top Bottom