Enyi wabunge niambieni,
~ni lini mlijadili na kuamua bunge lisiwe live?
~ni lini mlipanga bajeti ya kununua bomberdia 2 mwaka jana na kulipa malipo ya awali kwa nyingine 3?
~ni lini mlipitisha bajeti ya ujenzi wa jengo la TRA Chatho la ghorofa 3, kiwanja cha ndege na taa za barabarani?
Makonda anapaswa kuwa wa mwisho kuitwa kwenye hiyo kamati ya maadili, anzeni na mzizi.
wabunge sasa hv hamuheshimiwi, hamjulikani, hamfahamiki, mnachopanga siyo tu hakijulikani bali pia hakiheshimiwi.
mhimili huu umevunjwa na kukanyagwa kabisa ktk awamu hii.