CCM ndiyo imetufikisha hapa sio upinzani

Mbona ni simple tu, yaani imetudumaza! Kwa umli tulionao kimaendeleo tumedumaa, miaka 55 ya Uhuru, bado tunahangaika na MAJI, barabara na UMEME. Wenzetu wenye umri huu, wako mbali kimaendeleo. Hivi kinatushinda hata kiwanda cha toothpicks! Hapa ndio ilipotufikisha! Upo?
Inaonekana watu walio wengi hawajui tulipaswa kuwa wapi? Toa picha na mifano mtoa mada ili watu wajitambue na wasirudie makosa 2020
 
Mbona ni simple tu, yaani imetudumaza! Kwa umli tulionao kimaendeleo tumedumaa, miaka 55 ya Uhuru, bado tunahangaika na MAJI, barabara na UMEME. Wenzetu wenye umri huu, wako mbali kimaendeleo. Hivi kinatushinda hata kiwanda cha toothpicks! Hapa ndio ilipotufikisha! Upo?

Taja mmoja mwenye umri kama wetu ambaye yuko mbali kimaendeleo na hana shida hizo ulizozitaja!
 
Taja mmoja mwenye umri kama wetu ambaye yuko mbali kimaendeleo na hana shida hizo ulizozitaja!
Barbarosa mbona mataifa mengi tu yana umri sawa au chini ya huu wetu na hayashikiki kimaendeleo! China, India, Indonesia, Malaysia, Cuba, Singapore, Vietnam na nyingine nyingi tu zina umri sawa au chini yetu na wametuacha nyuma vibaya.
Ni kama Waafrika tumelaaniwa na aliyetulaani amesafiri au keshakufa!
 
Hakuna hata nchi moja kati ya hizo ulizozitaja ambazo zina umri kama wa Tanzania yetu, Uchina ina zaidi ya miaka 5000 kama nchi, Indonesia, Malaysia na Singapore ni ethnic Chinese waishio kwenye hizo nchi ndo wamejenga, hivyo ni sawa na kusema kwa nini AK ni tajiri wakati Tanzania ni masikini, AK imejengwa na Wazungu ambao tayari nchi zao zilishaendelea!
 
Wasalam, ndugu zangu kwenye ukweli lazima tuseme ukweli kwani msema kweli ni mpenzi wa mungu. Tuache unafiki kuhusu vita dhidi ya dawa za kulevya lawama zote nazielekeza kwa CCM kwani ndo wametuongoza kwa miongo yote tangu tupate uhuru;na pia ccm ndo wametengeneza na kukumbatia uozo na uchafu wa kila aina ndani ya taifa hili. Serikali ya awamu ya tano inapambana na kivuli chake yenyewe;ni vema ikafuata sheria za nchi ktk vita zote sio mihadarati pekee kuna suala la ujangili hili linaniuma sana roho yangu,urithi wa nchi unatoweka wakati huo majangili yanadunda mtaani.
 
Kwa jinsi naichukia ccm yaani ikitokea natakiwa kupigana kati ya jeshi la shetani na jeshi la ccm, nitajiunga jeshi la shetani. I hate ccm with all I have, I hate you ccm!
 
Back
Top Bottom