Beira Boy
JF-Expert Member
- Aug 7, 2016
- 18,716
- 28,623
Wanajukwaa wenzagu aman ya bwana iwe nanyi hakika yesu ni mwemu ,masihi kayashinda mauti
Mimi swali langu ni moja kwenu kufuatia bunge kulidhia kumuita mbele ya kamati ya maadili ndugu paul makonda je kama asipoenda nini kitatokea watamupeleka wapi na kwanini aende kamati ya maadili bungen ili akafanye nini kwani hakuna sehemu nyingine ya kumupeleka kama mahakamani
Maana mimi najua mahakama ndo sehemu pekee ya kupeleka wahalifu sasa bungeni anaenda kufanya nini kwanini hao wabunge hadi leo wanasota lupango wakati kumbe nao wana mahakama
Na kama asipoenda nini kitatokea maana hata kumufukuza ukuu wa mkoa hawawezi sasa watamufanyeje
Naomba mwenye kujua anisaidie tafadhali