Kwanini Makonda asifunguliwe kesi ya msingi Mahakamani?

Kwanini Makonda asifunguliwe kesi ya msingi Mahakamani?

kabombe acha kurukaruka, nimekuuliza umewahi kuisoma "List Of Shame"? Kwenye Orodha ile kila aliyetajwa aliwekewa nini alifanya. Kwa mfano Lowassa alituhumiwa kwa kuvunja Mkataba wa Dawasco na City Waters ya Uingereza na kutishia kuliingiza taifa kwenye hasara. Sasa Makonda kasema Mbowe anatumia, anauza, anasafirisha, anawasafirisha wasafirishaji ama anafadhili biashara ya madawa ya kulevya?
 
Hahaaaa hamkawii kuremba.Unataka tuamini mawazo yako.huo ushahidi ni wa kwako na makamanda wenzako.
Alichofanya Mbowe ndio kinamrudia,Makonda akisema ana ushahidi atakuwa na tofauti gani na mBowe aliedai lowasa fisadi hasafishiki?Mwambie mwenyekiti wenu atii amri,au anaogopa kulala leo hadi jumatatu?

Mkuu Kuna Utofauti Wa Kuongea Kupitia Majukwaa Ya Siasa Na Kuongea Kama Makonda Kupitia Ofisi Na Mamlaka Za Serikali Ya Nchi Ni Vitu Viwili Tofauti?​
 
Kwa Hiyo Hii Ndiyo Ile List Ya Miaka 8 Ya Raisi Kikwete Ya Wauza Madawa Ya Kulevya Papa?

Kwanza Uzi Hauzungumzii List Unazungumzia Katiba na Sheria Za Nchi Zinamruhusu Makonda Kuita Watu Polisi?
​
Ulitaka awaite gesti?
Wakati mrema anaita wakwepa kodi kiraracha ulikuwa hujazaliwa wewe
Mwambie Mbowe aitikie wito halali,asiogope polisi,kama anajiona ana hadhi kubwa atakwenda mahakamani kuomba kusafishwa
 
Mimi Mkuu Sina Chama Ila Mpenda Haki Na Kukosoa Pale Viongozi Wanapo Tumia Madaraka yao Vibaya​
 
Ulitaka awaite gesti?
Wakati mrema anaita wakwepa kodi kiraracha ulikuwa hujazaliwa wewe
Wapo waliokwenda na wapo ambao hawakwenda. Umenikumbusha zama zile za kupeana siku saba. Dah hii ya Makonda kumbe ni "Mrema effect"
 
Kwanza uandishi wako mbovu hata ulichikiandika sijakisoma, nadhani utakuwa mtumiaji wa hayo mambo.

...Kusoma tuu hii mistari miwili ni issue, halafu mnataka nchi ya viwanda na kupiga marufuku mitumba...
 
Nadhan wahusika wakuu kwny hii vita ni watu wanaojielewa hvyo wakat ukifika watachukua uamuz sahih...
Hawawez kufungua kesi ya madai kwa wakat huu itawalazimu wasubir mpka pale watakapo thibitika mahakaman kwmba hawana hatia ndio watakua na fursa ya kufanya hcho unachpendkza...
Kwa sasa acha washughulikie kupangua hzo tuhuma kwanza.
 
Isije ikawa tunatengeneza mtandao wetu tu.Maana kama nimempangia nyumba msafirishaji wa kimataifa na msambazaji kwanini nisishukiwe pia.??
 
Mkuu Nimekuelewa Kabisa lakini Hiyo Ni Kesi Nyingine Kabisa, Hii Ni Ya Sasa Hivi Kuhusu Mamlaka Aliyokuwa Nayo Nakidhi Alichofanya?​
 
Isije ikawa tunatengeneza mtandao wetu tu.Maana kama nimempangia nyumba msafirishaji wa kimataifa na msambazaji kwanini nisishukiwe pia.??

Ulijua Kuwa Ni Msafirishaji Au Msambazaji?​
 
Hahaaaa hamkawii kuremba.Unataka tuamini mawazo yako.huo ushahidi ni wa kwako na makamanda wenzako.
Alichofanya Mbowe ndio kinamrudia,Makonda akisema ana ushahidi atakuwa na tofauti gani na mBowe aliedai lowasa fisadi hasafishiki?Mwambie mwenyekiti wenu atii amri,au anaogopa kulala leo hadi jumatatu?
Hahahaha. ...
 
Kwa Sheria Na Mamlaka Ipi Inayomruhusu Makonda Kufanya Hivyo?​
kwenye kupambana na hi suala hatuitaji sheria wala mamlaka yeyote ile angalia nchi zote zilizopiga hatua kwenye upambanaji wa madawa sheria zote zinawekwa kando, Angalia philipines kuna mtu anaitwa Durtete anapiga risasi kuanzia vinara mpka mateja,kaingia madarakani mpka sasa ana miezi saba tu lakini ameshauwa watu mia saba,je kuna sheria inayomruhusu ,la hasha sasa wewe kaa hapo ukiwa unasema makonda ni sheria gani inamruhusu!!!!
 
Hivi movie ya kibongo tamu sana hadi hatujui mwisho wake
 
Nchi hii watu fulani wakiguswa tu,wanakumbuka utaratibu,sheria na katiba ya nchi.
Listi ya mafisadi iliimbwa miaka 8,hatukusikia wanakumbusha kuhusu utaratibu,sheria na katiba ya nchi.
Muacheni Makonda afanye kazi,mwenye kuona kaonewa aende mahakamni akadai kusafishwa,mbona sheria zipo wazi kabisa
Hili Lilikuwa Swali La Msingi Kabisa Nilitegemea Vyombo Vinavyohusika Viulize Hiki Kitu Lakini Viko Kimya

Kipindi Kama Hiki Ndicho Namkumbuka Mtikila Alikuwa Anaisimamia Serikali Ifate Mstali
​
ACHA UCCM VITU UNAVYOOANISHA HAVIFANANI,JIONGEZE MKUU.
 
Nchi hii watu fulani wakiguswa tu,wanakumbuka utaratibu,sheria na katiba ya nchi.
Listi ya mafisadi iliimbwa miaka 8,hatukusikia wanakumbusha kuhusu utaratibu,sheria na katiba ya nchi.
Muacheni Makonda afanye kazi,mwenye kuona kaonewa aende mahakamni akadai kusafishwa,mbona sheria zipo wazi kabisa
Tuseme kwa mfano kutaja list ya mafisadi ni kosa-je hii inahalalisha wengine kufanya kosa hilo, hasa ukikumbuka kuwa vyombo vya dola wanavyo? Pia ukumbuke sio wote wanaweza kwenda mahakani. Kama sheria ziko wazi basi Makonda awe wa kwanza kuzifuata!!!!
 
Waumini wa kweli wote huichukia dhambi, lakini hawawezi kumuunga mkono kiongozi wao wa kiroho anayejidai kuipiga vita dhambi kwa kuitisha vyombo vya habari na kuanza kuwatangaza hadharani kwa majina wale wote anaowahisi ni watenda dhambi, eti waripoti ofisi ya mch, askofu, shehe, au padri. Kiongozi kama huyo huwa na ajenda yake ya siri aliyoificha kwenye koti la kukemea dhambi.
 
Hadi sasa watu wanalalamika kwanini Lema ashitakiwe kwa kumkelele Raisi ambaye kimsingi nI kiongozi wa dola ya utawala na Mke wa Lema ana kesi ya kumtukana RC Gambo.

Makonda na Mnyeti wanakabiliwa na tuhuma za kudhalilisha bunge.

Ikumbukwe Lissu alishawahi kutamka ya kuwa Majaji hawana akili.

Kwa msingi ule ule wa wivu wa mihimili ya dola,mahakama,bunge na korti kila mhimilI ukiamua kuwa na wivu je Lema,mkewe na wenzie watapona?

Jenga hoja bila matusi tafadhali.
 
Back
Top Bottom