Recent content by Hassan r rwitita

  1. Hassan r rwitita

    JamiiForums Tanzania Polepole: Hatuwezi kuzuia watalii kwa sababu ya Corona, tutapambana nayo kama tunavyopambana na Upinzani. Nchi inategemea watalii

    Haa polepole baba punguza maneno, ongea lakin uweke akiba!!!
  2. Hassan r rwitita

    JamiiForums Tanzania Watanzania wawili wauawa kinyama nchini Zambia kutokana na madai kuwa ni wachawi

    Kumbe karambo acha tu tutongea na serikali ZAmbia yaishe ki ndg kwa cc ni jirani
  3. Hassan r rwitita

    JamiiForums Tanzania Hukumu ya Viongozi wa CHADEMA: Seneti ya Marekani yadai Tanzania ni vigumu kuwa na Uchaguzi Huru 2020

    Uchaguzi ujao waje wapige kambi kabisa kila kijiji kila wilaya kila mkoa tutaelewana tu.
  4. Hassan r rwitita

    JamiiForums Tanzania Kushindwa kusimamisha uume/ Kuendelea na tendo baada ya kufika kileleni sio ugonjwa/ mapungufu! Soma hapa kujua zaidi

    Kumbe wadada nao hudondosha mshindo kama wakaka lakini mbona tukiwa tunatembea njiani hatuitwi kama nao wanapenda
  5. Hassan r rwitita

    JamiiForums Tanzania Mfahamu kondoo maarufu aliyejulikana kama Dolly Parton

    Sana sana yaani kama watoto wa baba mmoja tofauti mmoja ni mnyama na mwingine ni binadamu
  6. Hassan r rwitita

    JamiiForums Tanzania Wakubwa wa jiji, hali ya uzoaji takataka mitaani hairidhishi

    Huku kwetu wanachukua hela wanaondoka taka hawajawahi kutoa ukiwauliza au kuiwakatalia wanakwambia kuchukua hela ipo kisheria ukimuliza kuja kuchukua taka hawanaga jibu basi ukiwauliza sheria gani inakukinga wew mvhukua hela bila kutoa taka haijui halmashauri za miji kuweni wastaarabu basi...
  7. Hassan r rwitita

    JamiiForums Tanzania Amchinja mkewe mjamzito wa miezi nane, ajisalimisha

    Aaah kabsaaa @Wa stand kinweza kuwa ndio chanzo wasjifanye hawajui
  8. Hassan r rwitita

    JamiiForums Tanzania Je, umewahi kuona Nyani na Simba pamoja?

    Picha yenyewe anakombebea nilifili wana suger , mbona anambebea karibu na crusher kabisaa
  9. Hassan r rwitita

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Kenya: Mzee wa miaka 78 arejea kwa mkewe baada ya miaka 26

    Da kuna mzee hapa kama namfananisha naye anasema familia yake iko Uganda toka ametua hapa Tz ni miaka mingi sana toka 1954 hivi hakumbuki hata alipokuwa anaishi na anamtaja mtoto wake mmoja tu na mke ila anasema aliacha watoto 4. Na huku amenogewa analima na ana umri mkubwa ila usimwambie...
  10. Hassan r rwitita

    JamiiForums Tanzania NEC: Ratiba ya Uchaguzi Mkuu haijatoka

    Kisheri tunajua lakini tunataka tume itokane na uwakilishi wa vyama vya siasa , sio tume inayoteuriwa na mwenyekiti wa chama kimoja cha siasa
  11. Hassan r rwitita

    JamiiForums Tanzania Mkali wa miondoko ya Kizulu Joseph Shabalala, afariki dunia

    Atakuwa amepokelewa peponi. uongo!!
  12. Hassan r rwitita

    JamiiForums Tanzania Kobe Bryant na mwanaye Gianna wazikwa

    Afrika tungemwitwa kwnza mwenye mkoa wake aseme na amkaribishe mwakyembe aseme na wengine na wote hao watakasema ni lazima waipongeze na serikari ya...na kuponda wapinzani kisha wanawachia wengine ikiwa kesho ndio mwili unazikwa au unasafirishwa basi na gari la mtu fulani linatangulia mbele ila...
  13. Hassan r rwitita

    JamiiForums Tanzania, JamiiForums Uganda Uganda: Askari amuua mwenzake baada ya kubishana kuhusu kesi

    Hii ni nini sasa
Back
Top Bottom