Uganda: Askari amuua mwenzake baada ya kubishana kuhusu kesi

Analogia Malenga

JF-Expert Member
Feb 24, 2012
5,007
9,873
Afisa wa polisi wa kituo cha Bunamwaya, Sabagabo - Makindye amewapiga risasi askari mwenzake na mtu mmoja wa ulinzi shirikisha kabla hajajiua mwenyewe kwa kujipiga risasi

Makamu wa msemaji wa Jeshi polisi ndugu Luke Owoyesigyire, amesema tukio lilitokea baada ya kugombana muda mrefu kati ya constable Ben Ojilong na coplo Alex Opito katika namna ya kuendelea na kesi

Uchunguzi ulionyesha kwamba Ojilong alimpiga risasi nyingi Opito, kipindi askari wa ulinzi shirikishi alipita ni kujeruhiwa na risasi na alikufa akiwa hospitali kwa matibabu

Owoyesigyire amesema polisi wameanza kulichunguza tukio na miili ya marehemu ipo katika mchwari ya mji kusubiria kufanyiwa uchunguzi Zaidi.

----
Police officer shoots two dead, commits suicide

A police officer attached to Bunamwaya community police station in Sabagabo-Makindye has shot dead his colleague and an LDU personnel before taking his own life also by shooting.

According to the Kampala metropolitan police deputy spokesperson, Mr Luke Owoyesigyire, the incident happened after a heated argument ensued between police constable Ben Ojilong and Cpl Alex Opito on how to proceed with a case.

“Preliminary investigations indicate that Ojilong picked his gun and shot at Opito several times killing him instantly, while an LDU personnel who was passing by sustained serious injuries and was pronounced dead upon reaching Kitebi Health Centre III,” he said in a statement released on Tuesday evening.

Mr Owoyesigyire said police have started investigating the incident, while the bodies of the deceased have been taken to the city mortuary, Mulago for autopsy.

“The territorial police of Kampala Metropolitan south responded to the scene and recovered the killer gun and cartridges,” he said.

Daily Monitor
 
Back
Top Bottom