Kwanza napenda kumpongeza Mh. Rais wetu kwa kuthubutu kulianzisha Dude hili la madini kwani tumeibiwa sana tena sana.
Lakini naomba kujibiwa maswali haya ili niweze kuamini na kumuamini Rais katika hili sakata kwa ujumla wake.
(1) kwa mujibu ya ripoti iliyo wasilishwa kampuni ya Acacia...
USIA WA MAREHEMU KITWANA SELEMANI KONDO KWA WATANZANIA
Mohamed Said May 24, 2017 0
Hotuba ya Mh. Kitwana Kondo (MB) aliyoitoa Bungeni Dodoma, 1999
Mohamed Said February 17, 2015 0
Annur Na.187- Feb.5-11, 1999
Hotuba ya Mh. Kitwana Kondo (MB) aliyoitoa Bungeni Dodoma
Kitwana Selemani...
Jamani mbona povu linawatoka !! Kwani uchi wa mwanamme unaanzia wapi na kuishia wapi ?? Mbona mimi sijaona hayo matako mnayo yajadili ?? Wimbo mzuri tu , labda music system zenu ni zambao na spika mbovu zinakoroma tu. Achene roho mbaya , wabongo banaa !!
Sirro: "Clouds wanatakiwa kutoa ushirikiano"
Dar Es Salaam. Kamanda wa Polisi Kanda Maalumu ya Dar Es Salaam, Simon Sirro amewataka uongozi wa Clouds Media Group kushirikiana na jeshi la polisi katika upelelezi wa tukio la uvamizi wa kituo chao cha matangazo.
Akiongea na waandishi wa habari...
Je Vatican mbona wanapeta tu na taasisi zao, au TZ ni ya wakatoliki ?? Je intelejensia ya TZ ni imara zaidi ya Europe ambapo hawa Hizb wanafanya shughuli zao bila kizuizi chohote. ??!! Mimi Ninachoona hapa hii Nchi inaongozwa na woga na woga unatokana na viongozi wetu kutokuwa waadilifu pia...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.