Write your reply...Kenya aliyewaroga amekimbia. Hebu mtafuteni awape dawa mpone.
Populations ya Tz ni kubwa kuliko nchi zote East Afrika, how come tudemand low quantity of maize than minority kenyans.
Tanzania almost the whole country ni fertile soil and all areas cultivate maize for both...
Write your reply...Kama hauna mke wala mtoto wala hauna mpango wa kupata hvyo vitu, hautakiwi kuwaza future because you live for the sake of your own lives. At the same time kama hauna hvyo vitu u'll be fucked by stress. Mwisho utataka kuaminisha watu unafuraha kumbe your heart is torned...
Write your reply...Labda walikosea bajeti, waliandaa bajeti isiyotosha. Hivyo wanaogopa kugusa hela na mradi usihishe.
Au wanajisahaulisha zikae muda mrefu watu wasahau, mwisho waanze kuzinyogoa mdogo mdogo.
Write your reply...Chanzo cha ajali ni:-
1- Reckless driving (Kuendesha gari kizembe)
(i) mwendokasi, wanasema speed ndio usalama wa kiongozi lakini kwakusema ukweli hakuna mwenye shida na Mwigulu, ata akitembea kwa miguu usalama wake ni 100% labda Mungu, mana Mwenyezi Mungu hadhihakiwi...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.