Mwenye mbuzi aende tu kumchukua, tatizo watu waoga, jeshi la siku hizi ni la kistaarabu si unaona hadi wanakuandikia barua, huo ni ustaarabu uliotukuka.
Kwani kuwa Mbunge inalazimu kuwa Daktari wa Sheria? Then, Bulembo siyo mtu wa kumdharau, ana mafanikio katika maisha yake inawezekana kuliko baba yako. Wewe mpaka umemjua hapo alipo hakufika hivihivi, kuna watu wazito ndani ya chama chake wanamjua uwezo wake na kumwamini. Acha ku underestimate...
Acheni povu, hii issue inahusiana na masuala ya fasiri ya sheria (interpretation). Kwa uchangiaji huu wengi wataonekana hawana capacity ya kujadili hili. Wengine tusio na ufahamu mpana wa masuala haya tusidandie treni kwa mbele. Tuiachie Mahakama ndio inaweza kutupa usahihi.
Hapana, Mwambani port sio ile ya Tanga mjini, iko planned kujengwa somewhere else nje kidogo ya Tanga mjini eneo linaloitwa Mwambani kushoto mwa barabara inayoenda Pangani toka Tanga mjini.
"eti kosa ni kufanya fujo kwenye uchaguzi"
KWANI UKIFANYA FUJO WAKATI WA UCHAGUZI NDIO INAFANYA KUWA SIO KOSA. ACHA USHABIKI, NCHI INAENDESHWA KWA MUJIBU WA SHERIA SIO HISIA ZAKO.
issue sio kuichagua CCM au kutoichagua, tuchague nani mbadala? Hawa ni Vigeugeu, hawana wanachosimamia hawafai hata kuongoza familia. Ili kupata mageuzi ya kweli inahitajika damu mpya. Kama lengo ni 2020, nguvu nyingi ielekezwe kuleta mabadiliko ya ndani ya chama badala ya kupambana walioshika...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.