muhomakilo jr
JF-Expert Member
- Jul 28, 2013
- 13,511
- 10,131
Hivi tupo vizuri kweli au mbwembwe zetu tu?Hawa Sudani Kusini kweli hawatujui. Wangeendelea kumshikilia waone nyuki wanavyoranda randa juu ya anga Lao na kulifuta kabisa Taifa hilo kwenye Ramani ya dunia.
Hawajui kama zama huku kwetu zimebadilika.