Hatimaye Watanzania wajutia uwepo wa CCM madarakani

Lawama za za nini? Piga kimya fanya kazi ili maisha yako yaende huu si muda mwafaka wa kujadili nini kipi wala nani alimchagua rais tuliomchagua ni uncle JPM basi acha atupe kilicho sitahiki yetu tatizo sisi watanzania ni wanafiki sana
 
Kachome leo, who and what are you bw???!
Vijana kama nyinyi mnaofuata kila kitu kuna siku mtaambiwa mule mavi ya kenge na mtakula kweli kisa mwenyekiti wa chama kasema(Mbowe).
Taifa gani hili ambalo vijana ni wanafiki mithili ya wazee?
 
Ni watanzania gani hao wanaojutia uwepo wa CCM madarakani? Huo utafiti umeufanya lini? Na hiyo sampuli ya utafiti wako uliichukua wapi? Mlituletea watu wa ajabu ajabu kugombea urais wa Tanzania eti Lowassa...!!! Lowassa hawezi kushinda urais wa nchi hii labda kama atashinda urais wa mitandao ya kijamii hapo sawa maana kwenye mitandao ya kijamii ndo kumejaa mbumbumbu wengi ambao ukiwauliza madai yao ni yapi kwa serikali hata hawajui ila ni kulalamika tu..!! Mungu atunusuru na hili janga la kizazi kisichokuwa analytical
 
Nyie wenyewe matapeli tu wakisiasa,

Mlikuwa mko tayar kuua ili muingie madarakani ndo maana watu wakaona Bora zimwi likujualo....,
 
Angetumiwa babako labda
Unaona!!! Nyinyi ndio zile akili za kushikiwa. Akili za fuata upepo. Akili mnyauko. Watanzania tutaongozwa na fisiemu mpaka milele kwa akili za dizaini hii. Nyinyi ndo Moja ya watu wenye PhD za unafiki na uzandiki. Iache halimashaur ya kichwa chako ijiendeshe na siyo kuendeshwa. Come on.
 
acha 2isome namba ehee, some namba, akna flan mbele kwa mbele. rang zngne znasoma namba ya kjana wenyewe hawaisom n mbele kwa mbele
 
Lawama za za nini? Piga kimya fanya kazi ili maisha yako yaende huu si muda mwafaka wa kujadili nini kipi wala nani alimchagua rais tuliomchagua ni uncle JPM basi acha atupe kilicho sitahiki yetu tatizo sisi watanzania ni wanafiki sana
Sure. Its time to read numbers. Mambo yakuleta mahaba ya Lowasa yalishatuchosha. JPM asuburi kujionea akili ndogo za watanzania zilivyo
 
Kwa wapinzani dizaini ya mbowe,lema, ,lissu,mnyika,mdee,msigwa,lowassa etc bora muongozwe na ngedere tu.Sijaona nchi yenye wapinzani wajinga wasioeleweka kama hii,hawajui nini wanasimamia,bora liende tu.Acha JPM afanye kazi
Chadema ni 0 tu, Ccm hoyeeeee..mi najuta kura Yangu kumpa Mwenyekiti wangu maana kapata sifuri kwenye uchumi Wa nchi hadi sasa kiukweli.
 
Miafrika aliyeturoga alifia baharini

Watanzania walivyo waajabu 2020 wakipewa pombe na sukari sishangai wataichagua ccm watasahau yote.
Akili ya pombe si nzuri kabisaa. Ndio maana hata mahakamani ukisema nilimtukana nikiwa nimekunywa pombe mh hakimu anujua haukua peke yako mlikua wawili wewe na mtakatifu Pombe.
 
Miafrika aliyeturoga alifia baharini

Watanzania walivyo waajabu 2020 wakipewa pombe na sukari sishangai wataichagua ccm watasahau yote.
issue sio kuichagua CCM au kutoichagua, tuchague nani mbadala? Hawa ni Vigeugeu, hawana wanachosimamia hawafai hata kuongoza familia. Ili kupata mageuzi ya kweli inahitajika damu mpya. Kama lengo ni 2020, nguvu nyingi ielekezwe kuleta mabadiliko ya ndani ya chama badala ya kupambana walioshika hatamu. Mabadiliko ya ndani ya chama yanawezekana, chama ni cha wanachama
 
Wale wapuuzi walio kejeli Watanzania wapenda mabadiliko na wimbo mtaisoma namba, usiombe , wamepigika hadi wanatia huruma. Ghafla jamaa wapole kweli mtaani. Na bado!
 
Mulikuwa sahihi ila sio kwa kumtumia Lowasa.
Naweza kukufananisha na mnyama asiye na akili kabisa, loh naona wote uelewa walionao wanakuzidi, haha pengine nifananishe brain yako na brain ya panzi hahah, unaakili ndogo sana,
 
Hapo ndo ujue hakuna mwenye nia njema na nchi yetu. Wametuwekea matakataka hayo 2015 tukaishiwa pozi.
Na wakiendelea na upuuzi juu next time, bora tuwaache hawa dudumizi wa kijani waitafune nchi. Ngoma droo wote tutaumia kama ilivyo sasa.
 
Back
Top Bottom