Kesi ya Lema sio ya Kisiasa.

Civilian Coin

JF-Expert Member
Dec 2, 2012
2,305
4,379
KESI ya LEMA sio ya KISIASA ni ya KICHAWI&MAJINI.

NB: " Muacheni tu huyu Deo Kisandu, akitoka Lema na yeye tunamshughulikia, wanatuharibia dini yetu ya kichawi..." Mwisho wa kunukuu kutoka Mtaani.
 
Deo Kisandu mgombea Urais mtarajiwa wa Jamhuri yenye changamoto nyingi sana ya Tanzania unaamua kupost kitu kama hiki kwa account yako verified??

Sometimes verified users mnatakiwa muangalie nini mnaposti kwa account verified na nini mnaacha kwa ajili ya account mchepuko.
 
Ni kweli unayosema lakini signature yako inapingana na mawazo yako. (Mkubwa hakosei)
 
Mchawi au wachawi hapo ni wapi au yupi? Je...

1.Lema mwenyewe

2.Serikali kuu

3.Mawakili wa serikali

4.Chama cha Lema

5.Familia ya Lema

6.Wewe mwenyewe D. Kisandu

Yaweza kuwa ZIKA ipo Tanzania si utani.
 
Kisandu salama kaka? Pole sana. Wanataka kukushughulikia?! Jamani, mtaa gani huo na wanataka kukushughulikiaje? Hebu funguka zaidi kaka. Tupashane hbr vema kabisa ili likitokea jambo angalau tuwe na abechede!
 
Deo Kisandu mgombea Urais mtarajiwa wa Jamhuri yenye changamoto nyingi sana ya Tanzania unaamua kupost kitu kama hiki kwa account yako verified??

Sometimes verified users mnatakiwa muangalie nini mnaposti kwa account verified na nini mnaacha kwa ajili ya account mchepuko.
Umeongeaa ukweli
 
Huyu jamaa kilaza sana. Hata kama unatafuta cheo. Muige hata le mutuz uandishi wake utaheshimiksa
 
Deo Kisandu mgombea Urais mtarajiwa wa Jamhuri yenye changamoto nyingi sana ya Tanzania unaamua kupost kitu kama hiki kwa account yako verified??

Sometimes verified users mnatakiwa muangalie nini mnaposti kwa account verified na nini mnaacha kwa ajili ya account mchepuko.

Kisandu ana tatizo binafsi huwa naona kama anatatizo la ugonjwa wa akili.Ndugu zake wamuwaishe mirembe kabla haujaenda mbali.
 
Back
Top Bottom