Recent content by harufumbaya

  1. H

    JamiiForums Tanzania Mke wangu ananipiga makofi

    Uwe unavaa helmet
  2. H

    JamiiForums Tanzania Ni wimbo gani unaoutafuta sana bila mafanikio?

    Nyimbo inaitwa ‘moza’ - msondo ngoma.
  3. H

    JamiiForums Tanzania Watano wapanda kizimbani kwa kuwakejeli wasukuma

    Tangu lini kesi ikasikilizwa jumamosi?
  4. H

    JamiiForums Tanzania Kumbe hata maduka makubwa ya kibongo yana camera za siri

    Uko sahihi mkuu, ni tatizo kwa jamii yetu.
  5. H

    JamiiForums Tanzania Polisi: Benki bongo zimeajiri majambazi

    Polisi kazi imewashinda. Inakuaje wanashindwa kufuatilia mawasiliano ya hao wafanyakazi wa mabenki tuhumiwa ili kupata ukweli? Wasijitoe kwenye hii dhamana ya kulinda usalama wa raia na mali zao. Excuse is a lie. Polisi wakitimiza wajibu wao hao wafanyakazi wa benki wanaotuhumiwa ni rahisi...
  6. H

    JamiiForums Tanzania CCM waacheni wachaga waishi kwa amani!

    Hofu kubwa hapa ni juu ya uchaguzi ujao iwapo Rais na serikali yake wakiendelea na kasi hii waliyoanza nayo. Je, upinzani utapata support ya wananchi wanaorudisha imani waliyoipoteza hapo awali (bila ya kujali chama)kwa serikali? Mleta maada umeona mbali sana.
  7. H

    JamiiForums Tanzania Hatimaye ahadi zaanza kutekelezwa

    Watu wanajua kuficha akili zao aisee
  8. H

    JamiiForums Tanzania Dr. Magufuli usitutoe vibanzi wakati una boriti jichoni kwako

    Hata Mungu hakubaliwi na wote japo kawaumba. Poleni sana
  9. H

    JamiiForums Tanzania Coaster zaidi ya thelathini zinaelekea Morogoro kwa ajili ya Sheikh Ponda

    Mnataka kura za waislam wanafiki wakubwa nyie
  10. H

    JamiiForums Tanzania Coaster zaidi ya thelathini zinaelekea Morogoro kwa ajili ya Sheikh Ponda

    Walishadharaulika siku nyingi sana
  11. H

    JamiiForums Tanzania Kumbe ni kweli yanga ni tawi la ccm-nimejitoa rasmi kusapoti leo

    Mbona timu ziko nyingi chaguo lako tu. YANGA DAIMA MBELE NYUMA KWA MIKIA siku zote.
  12. H

    JamiiForums Tanzania Wafanyakazi waliosambaza Video ya Dr. Slaa akiingia chumbani Serena Hotel wafukuzwa kazi

    Ccm ni shida sawa lakini kwa lowasa ni sawa na mtu aliechafuka na kwenda kuoga mkojo ili awe msafi
  13. H

    JamiiForums Tanzania Serikali yakanusha Mabasi yaendayo kasi DART ni ya Kichina: "Ni kiwanda kilicho Assemble Mabasi tu"

    10. Urefu kutoka ardhini kwa milango ya kushoto ya Basi ni Sentimita thelathini (30) ambayo hata mtoto anaweza kushuka bila msaada wa mtu mzima. 11. Urefu wa Milango ya kulia ni Sentimita tisini (90) sawa na urefu wa Platform za kila kituo cha DART unaomuwezesha hata mtu mwenye mahitaji...
  14. H

    JamiiForums Tanzania Dr. Slaa amkaanga Lowassa, adai hana hadhi ya kuomba Kura za Wananchi

    Tatizo la wanachama wa vyama hutetea vyama vyao hata vinapokua vinateleza. Kwanza matumbo yao halafu wananchi baadae. Kweli siasa siasani.
  15. H

    JamiiForums Tanzania Dr. Slaa amkaanga Lowassa, adai hana hadhi ya kuomba Kura za Wananchi

    Kweli wanasiasa huangalia matumbo yao, lowasa kawa msafi leo? Wajinga ni sisi wananchi.
Back
Top Bottom