Kumbe hata maduka makubwa ya kibongo yana camera za siri

Herbalist Dr MziziMkavu

Platinum Member
Joined
Feb 3, 2009
Posts
43,108
Reaction score
34,934
mwizi siku zake ni 40.jpg
 
mbona wanajidhalilisha kwa kitu kidogo sana hicho? mafuta ya kupikia sijui sabuni hiyo sijui nini, hela ndogo hata angeniomba mimi ningemnunulia vingi awe navyo hadi achoke, wanajidhalilisha kwa vitu vidogo mno.
 
Mkuu hii Bongo au kwa wenzetu!
Ila hili limwendee Waziri Jenista Muhagama-hii ni adha ya aina yake ambao Wafanyabiashara wanakumbana nayo toka kwa wafanyakazi asilimia kubwa ya Watanzania. Yanaoendelea Serikalini ya kwapuzi wa Pesa basi hawa Wafanyabiashara ndiyo hivyo tena. Kwa hiyo ndiyo maana wengine wanawaleta wenzao waKichina na Wahindi sababu mmojawapo ndiyo hiyo.

Ebu pima una Wafanyakazi 20 kila siku kila mmoja anaondoka na hiyo 5 litre-utauza ngapi ufidia huo uwizi.
 
Uko sahihi mkuu, ni tatizo kwa jamii yetu.
 
Mkuu wesubiri nitakavyo rushiwa madongo wakinisikia maana wabongo ukisema ukweli hawapendi.
Kuna haja Wizara ikaendesha Elimu ya uwajibikaji Makazini kwa kutumia sehemu ya Pesa za D/levy skills zinazolipwa na Na Waajiri-maana kusema kweli kuna matatizo sehemu za Kazi-uwizi uwizi kwa kwenda mbele!. Tuna takiwa kubadilika.
 
Shida ni mshahara. Analipwa laki 1.5. Anatakiwa aje Kazn mwezi mzima. Amepanga chumba . Unategemea nini
 
Mkuu hii Bongo au kwa wenzetu!
Ila hili limwendee Waziri Jenista Muhagama-hii ni adha ya aina yake ambao Wafanyabiashara wanakumbana nayo toka kwa wafanyakazi asilimia kubwa ya Watanzania. Yanaoendelea Serikalini ya kwapuzi wa Pesa basi hawa Wafanyabiashara ndiyo hivyo tena. Kwa hiyo ndiyo maana wengine wanawaleta wenzao waKichina na Wahindi sababu mmojawapo ndiyo hiyo.

Ebu pima una Wafanyakazi 20 kila siku kila mmoja anaondoka na hiyo 5 litre-utauza ngapi ufidia huo uwizi.

Mkuu Wacha kuota wizi ni tabia, hakuna wezi kama wachina, vile vile hakuna taifa ambalo hakuna wezi.

BTW mfanyakazi anayelipwa vizuri hana haja ya kuiba fact, akiiba huyo ana lake jambo.
 
Back
Top Bottom