Recent content by Harry Mapande

  1. H

    JamiiForums Tanzania Nashukuru nimemwona Abdul Sykes vizuri katika picha hizi

    Sijaelewa au? Abdulwahid Sykes kafa 1968,wewe mzee Mohammed hujawahi kumuona?
  2. H

    JamiiForums Tanzania Anayejua Rais Samia Suluhu anatupeleka wapi atuambie, naona kama tunapotea

    Hana,ila hata JPM hakuwa nao,ni kawaida tu hata Trump hakuwa na uwezo.
  3. H

    JamiiForums Tanzania Fred Vunja bei: Maduka yetu pekee ndio yanauza nguo original hapa Bongo

    Mnataka OG kwa gharama ndogo? Yeye ana watu wake anaowauzia,mkitaka nguo OG nendeni kwenye maduka makubwa yenye gharama.
  4. H

    JamiiForums Tanzania Huyu amani kwa Kaka Voda milionea ndo nani? Huko Dar es Salaam

    Alikuwa diwani wa Chadema siyo Mbunge.
  5. H

    JamiiForums Tanzania Umegundua nini kuhusu taarifa za habari na vipindi vya TBC?

    Inaonekana huwa uangalii TBC1 Tangu mwaka jana walipoanzisha kipindi Cha Aridhio wana sehemu ya Zanzibar. Usiwaonee.
  6. H

    JamiiForums Tanzania Wako wapi mabinti waliotajwa na FA kwenye wimbo wa “Mabinti”?

    Magazeti ya udaku,vijiweni,shuleni, kwenye matamasha nk. humo kote stori za watu maarufu zinapigwa na zinasambaa kwa kasi. Unaweza kukuta mtu 1 kaenda kwenye tamasha mf.Diamond jubilee akikuta stori ya umbea au akimuona star na demu wake akirudi mtaani anawakusanya watu anawapigisha stori ,huyo...
  7. H

    JamiiForums Tanzania Dkt. Mpango: Sitakuwa mpole kwa wanaochezea Muungano

    Awamu hii kazi tunayo. Rais akihutubia anatukumbusha uanamke wake makamu yeye anatukumbusha upole wake.
  8. H

    JamiiForums Tanzania Baada ya Chato sasa ni zamu ya Zenji Kula

    Kati ya mambo ya hovyo yaliyowahi Kufanywa na Nyerere ni hili la muungano,hauna faida yoyote. Fedha za walipa kodi wa bara zinaendaje Zanzibar.bara ina watu zaidi ya milioni 50 inawezaje kugawana sawa fedha zake na nchi yenye watu wasiozidi milioni 2. Tuliyakataa ya Chato tutayakataa ya Zanzibar.
  9. H

    JamiiForums Tanzania Mbunge: Mbowe alidanganya Watanzania, Biashara zake hazikufungwa na Serikali bali Wanafamilia yake

    Mbaya zaidi hilo jengo lilijengwa na baba yake Mbowe, Nyerere alilitaifisha akawapa NHC.
  10. H

    JamiiForums Tanzania Mbunge: Mbowe alidanganya Watanzania, Biashara zake hazikufungwa na Serikali bali Wanafamilia yake

    Mbowe alisema akaunti zimefungiwa siyo biashara. Huyo mbunge hata akiulizwa Bills ilikuwa mtaa gani hajui. Yeye angepambana kuwatetea wakulima wa mahindi wa Songea na barabara na madaraja ya Lizaboni,Mfaranyaki,Mpitimbi na Ndelenyuma.
  11. H

    JamiiForums Tanzania Msukuma awajibu January na Nape asema kumkosoa hayati Magufuli ni nongwa kwa sababu wabunge wamekula viapo vya utii

    Una mtii mtu aliyekufa??!!!! Wanatakiwa wamtii Samia.
  12. H

    JamiiForums Tanzania Rais Samia Suluhu Hassan na Rais Hussein Mwinyi kuwa wageni Rasmi Kongamano la Viongozi wa Dini nchini

    Kwenye hilo kongamano wawaombee pia Ben Saanane na Azory Gwanda.
  13. H

    JamiiForums Tanzania Kwanini niliacha kuwa "MATAGA" enzi za Dkt. Magufuli

    Mimi nilikuwa namsapot mwanzo wa utawala wake lakini alivyopotea Ben Saanane na Azory Gwanda na kumpiga risasi Tundu Lissu nikakataa kuwa sehemu ya uovu .
  14. H

    JamiiForums Tanzania Maelezo ya Ndugai Leo akiwajibu watanzania wanaomkosoa juu ya Maoni yake kuendelea na Bandari ya Bagamoyo imeonesha udhaifu wa Bunge

    Ndugai angetangaza kwanza kaahidiwa bilion ngapi iwapo dili litakamilika.
  15. H

    JamiiForums Tanzania Catherine Ruge: Dr. Kigwangala usinipe vitisho, mjibu CAG

    Kigwangala Ni jambazi
Back
Top Bottom