Recent content by HARRISON ONE

  1. HARRISON ONE

    JamiiForums Tanzania Tulioishi Dodoma miaka ya 90's mpaka miaka ya 2000 tukutane hapa tujikumbushe

    picnic wengine tulikuwa tunaenda mlima wa Mlimwa yalipo Makazi ya Waziri Mkuu.lile jiwe pale juu kabisa.ndo ilikuwa sehemu ya kufanyia picnic
  2. HARRISON ONE

    JamiiForums Tanzania Tulioishi Dodoma miaka ya 90's mpaka miaka ya 2000 tukutane hapa tujikumbushe

    Mjini kulikuwa na daladala mbili tu za kwenda maili mnadani na ndio ilikuwa route pekee.ukikosa daladala linaloitwa chabase basi utalikamata moja hivi linaitwa POA.
  3. HARRISON ONE

    JamiiForums Tanzania CRDB Wana matatizo gani?

    Leo crdb simbanking ina shida gani? Mbona huwezi kuhamisha kwenda kwenye mitandao ya simu au kutoa hela kwa token
  4. HARRISON ONE

    JamiiForums Tanzania Duwasa Dodoma acheni uzembe

    Kuna tatizo kubwa sana la maji mitaa ya Ilazo daraja dogo hadi maeneo ya Toronto, mnasema kuwa maji yatatoka siku tatu kwa wiki lakini hayatoki!!!na tatizo hili ni la zaidi ya mwaka na zaidi!! Mkipigiwa simu na kupewa taarifa bado mnapiga poroja na kutoa majibu ambayo hamyatekelezi!!
  5. HARRISON ONE

    JamiiForums Tanzania Wananchi na wasafiri wa Mbeya na ushabiki wa mwendokasi wa mabasi ya abiria

    Kuna tabia ya ushabiki wa mwendokasi wa mabasi hasa yaendayo Mbeya ambayo naona siku hadi siku inazidi kukua. Sasa sijui ni ushamba au nini. Kufukuzana huko mtakuja kufa kwa kwa ujinga. Mikoa mingi sasa ina kampuni kubwa za mabasi ya abiria lakini hawana ujinga huo kama wanaofanya mabasi ya...
  6. HARRISON ONE

    JamiiForums Tanzania Hali ya hewa ya Dodoma imenishinda

    Na Kila anayeiponda Dom aseme anakotoka!! Nimekaa Dom miaka 5 naona pako poa tu.inategemea na life standard zako!!
  7. HARRISON ONE

    JamiiForums Tanzania Hata Manara angekuwa balozi wa Mohammed Enterprises, Mo asingepata faida

    This is not true!!! Sio Kila anachokisema ni lazima uamini ,mo ni attention seeker tu!!! ana kauli kubwa kuliko vitendo!!! Uwekezaji anaoufanya aufanye ila awaheshimu wanasimba!! Mfano alichofanya Leo kwa Chama si sahihi na kwa mazingira yoyote inanipa picha kuwa mchezaji yoyote ambaye alikuwa...
  8. HARRISON ONE

    JamiiForums Tanzania Ujenzi flyover chang'ombe /uhasibu

    Kimara nako mapipa mengi barabarani !!! Hawayatoi sijui kwa nn!!!
  9. HARRISON ONE

    JamiiForums Tanzania TARURA Dodoma angalieni barabara hizi hazileti picha nzuri kwa nchi

    Mshamba ni mtu anayecomment jambo bila kuelewa!!! Mfano halisi ni wewe!!! Elewa kwanza mada .nimeanza kwanza kuwapo geza Tarura nikijua wameweza kufanya priority vzr.barabara hizi ndogo ndogo za mitaani huwa zinasaidia kukwepa jam kwa kiasi kikubwa hasa ukizingatia Dom misafara ya Viongozi ni ya...
  10. HARRISON ONE

    JamiiForums Tanzania TARURA Dodoma angalieni barabara hizi hazileti picha nzuri kwa nchi

    Awali ya yote, napenda niwapongeza TARURA kwa juhudi zao za kuimarisha barabara za mijini na vijijini, kazi ambayo wanaifanya vizuri pamoja na kuwa na bajeti ndogo. Hivi karibuni nimefanikiwa kutembelea Makao Makuu ya nchi Dodoma na katika mizunguko yangu nimekutana na maeneo yenye hali mbaya...
  11. HARRISON ONE

    JamiiForums Tanzania Dereva wangu, Hii ni Scania 113H- 310, tuliza akili

    Mtoa mada umenikumbusha Scania 111 enzi hizo zile za mwanamboka!!! Mlio wa gari na namna gia zilivyokuwa zinaingizwa ulikuwa mziki tosha kwa dereva na watu barabarani.ilikuwa gia ikiingizwa watu wanashangilia barabarani kwa namna ilivyokuwa inaita!!!
  12. HARRISON ONE

    JamiiForums Tanzania Mrejesho na ufafanuzi: Yatokanayo na tiba ya chumvi

    Kul Sent using Jamii Forums mobile app
  13. HARRISON ONE

    JamiiForums Tanzania Waendesha bodaboda kutoa sight mirror na kukunja steering handle

    Wadau naona kuna tabia ya waendesha bodaboda ya kutoa sight mirror na kukunja steering ya pikipiki, hali ambayo kiukweli inahatarisha usalama wa yeye mwenyewe na hata pia abiria wake. Mantinki ya kufanya hivyo Ni Nini hasa?
  14. HARRISON ONE

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania At last u have got a husband of ur choice!!

    hello girls!!! Mimi ni mwanaume wa miaka 33,nimeajiriwa,msomi wa degree ya pili,smart,medium sized body,mstaarabu.Natafuta msichana ambaye atakuwa mke wangu!, awe na mwonekano mzuri,tabia nzuri,mrembo.maji ya kunde mrefu wastani,mwenye ideas nzuri za kufanya maendeleo,kujenga familia bora na...
  15. HARRISON ONE

    JamiiForums Tanzania 'Ujinga' wa Ikulu unarudi kwa kasi

    Jombaaa!!!!! umepatikana!!! uwe unaangalia mada za kuleta!!! elimu sio biashara sera yetu ya elimu inafafanua vizuri,alichofanya mh.Rais ni kuwarudisha kwenye mstari!!! usiitukane taasisi ambayo inaheshimika sasa kwa uwezo wako mdogo wa kupambanua mambo!!!
Back
Top Bottom