HARRISON ONE
Member
- Jan 8, 2014
- 44
- 32
Wadau naona kuna tabia ya waendesha bodaboda ya kutoa sight mirror na kukunja steering ya pikipiki, hali ambayo kiukweli inahatarisha usalama wa yeye mwenyewe na hata pia abiria wake.
Mantinki ya kufanya hivyo Ni Nini hasa?
Mantinki ya kufanya hivyo Ni Nini hasa?