HARRISON ONE
Member
- Jan 8, 2014
- 44
- 32
Kuna tatizo kubwa sana la maji mitaa ya Ilazo daraja dogo hadi maeneo ya Toronto, mnasema kuwa maji yatatoka siku tatu kwa wiki lakini hayatoki!!!na tatizo hili ni la zaidi ya mwaka na zaidi!! Mkipigiwa simu na kupewa taarifa bado mnapiga poroja na kutoa majibu ambayo hamyatekelezi!!