Dereva wangu, Hii ni Scania 113H- 310, tuliza akili

HARRISON ONE

Member
Jan 8, 2014
36
95
Mtoa mada umenikumbusha Scania 111 enzi hizo zile za mwanamboka!!! Mlio wa gari na namna gia zilivyokuwa zinaingizwa ulikuwa mziki tosha kwa dereva na watu barabarani.ilikuwa gia ikiingizwa watu wanashangilia barabarani kwa namna ilivyokuwa inaita!!!
 

Mgibeon

JF-Expert Member
Aug 7, 2011
9,649
2,000
Mtoa mada umenikumbusha Scania 111 enzi hizo zile za mwanamboka!!! Mlio wa gari na namna gia zilivyokuwa zinaingizwa ulikuwa mziki tosha kwa dereva na watu barabarani.ilikuwa gia ikiingizwa watu wanashangilia barabarani kwa namna ilivyokuwa inaita!!!
Ukitupia gia turbo inata "owhooooooooooooo"..., Truck tamu sana!
 

Mwifwa

JF-Expert Member
Apr 3, 2017
36,398
2,000
Hii chuma kutoboa ni mziki na sijui kama tutatoa hata vidumu mzigo wenyewe loose cargo belt zimelegea suka kakomaa trip dume wantashi kamoto Mungu tusaidie tufike salama
Ni kweli ilikuwa mziki hatimaye ni historia..
 

Jidu La Mabambasi

JF-Expert Member
Oct 20, 2014
8,771
2,000
Fasihi katika wakati wake. Nimekuelewa sana mkuu Mgibeon na naamini ujumbe utafika.

Lakini je, pindi unamwambia haya maneno alikuwa bado kaweka "earphone/headphone" masikioni au alitoa akawa anakusikiliza!!!??!?? Kama alitoa atajitahidi kuelewa maan naamini hata kama dereva wako ni mbishi, hawezi kuacha kusikiliza na kuelewa hata kwa uchache.

Lakini kama hakutoa hizo "earphone/headphone" kwa kiburi chake, nakushauri shuka kadri uwezavyo. Msubiri akiwa anarudi huku amebebwa kwenye gari la wagonjwa/jeneza na hapo utamwambia nilikuambia lakini hukunisikiliza.

Walio pembeni watakuelewa.
Watu mna fasihi!
Gari lilishaanguka , maspidi Kitonga.
Kipisi kikarudi kilikotoka mzigo umeendekea mbele.
 

kinusikwetu

JF-Expert Member
Oct 4, 2018
1,444
2,000
Nimekusoma Sana threader hii ngumu kumeza, tani 50 ukishuka Kitonga zinakuwa 70 sasa kweli ushuke kwa break lazima upasue drums na dere wetu alikuwa kibri, earphones, kapiga tinted 310 Hp 360 imemshinda peupe kaangushia gari pingo mbarachamakweza hivi si angemwaka watu pale wami huyu? hi ingekuwa braaaaa shekhee
 

Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom