Recent content by Hapaa

  1. H

    JamiiForums Tanzania Polisi Tz: Tunawashikilia askari wetu wanne kwa mlipuko wa bomu Soweto

    Kamanda nashkuru umeelewa trailer ya hii movie.at the end hao police watawataja viongozi wa Chadema kuwa ndo walowatuma.Afande Daudi tunamsoma sana.the worst person ever.
  2. H

    JamiiForums Tanzania Mchungaji: Polisi mkiwapiga risasi na Mabomu hawa wengine watazaliwa!!

    Yaani wewe ndo bure kabisaa, bora ungezaliwa hata chupa ya chai tungefaidi than such a brainless person
  3. H

    JamiiForums Tanzania VIDEO: Rais Kikwete awajibu wanaoponda safari za nje ya nchi

    Outcome ya safari zake ni nini? All the safaris atupatie one concrete outcome
  4. H

    JamiiForums Tanzania Natoka bara kwenda Dar. Je, sitaibiwa pesa?

    Acha kujidai mbulula wewe, njoo Arusha ngarenaro kuna suti nzuri na four angle.ukikosa lazma utapata matejoo au unga Ltd
  5. H

    JamiiForums Tanzania Natoka bara kwenda Dar. Je, sitaibiwa pesa?

    Huna akili suti na four angle? Nani akuibie? Ka unaogopa wezi baki shamba agiza Kwenye bus uletewe
  6. H

    JamiiForums Tanzania polisi: MBOWE NA LEMA POPOTE WALIPO WAJISALIMISHE WENYEWE POLISI

    Mungu pekee
  7. H

    JamiiForums Tanzania Inakuwaje JWTZ wanatumia yahoo email?

    Why post it? Tuku email au?
  8. H

    JamiiForums Tanzania inasikitisha sana hebu soma huu ujumbe kutika kwa mahabusu

    Naishi karibu na mahakama ya sekei Arusha. Mahabusu wanalia muda huu wanalalamika hawatendewi haki na kuna anaelia analawitiwa while mke kamuacha home
Back
Top Bottom