Ushimen
Platinum Member
- Oct 24, 2012
- 44,493
- 112,034
Dah..!! Nishauza mazao na ninavibunda vya wekundu kwenye mfuko wa Jacket. Nakwenda dar kununua suit na 4angle za kutafunia bata nikirudi bara, pia natakaninunue radio na baisikeli huyooooo..... narudi bara. Naimba mnitakie safari njema na mniombee nisiibiwe begi la nguo nikifika ubungo teminal.