Recent content by hansmak

  1. H

    JamiiForums Tanzania Watu wa kusini( Lindi na Mtwara) ndiyo watu wanaongoza kuwa na akili Tanzania mzima

    Akili sio zao la kabila, ukanda, dini wala ukoo.
  2. H

    JamiiForums Tanzania Kwanini Magufuli ni Rais bora kushinda Marais wote Afrika kwa sasa

    Kadri siku zinavyokwenda Tanzania, Mh. Magufuli anazidi kujipambanua kama kiongozi bora miongoni mwa viongozi wa Afrika. Sababu zipo nyingi kuthibitisha ukweli wa hoja hii. Japo sababu hizi kwa kiasi kikubwa zinahitaji ufafanuzi wenye hazina kubwa ya mifano lukuki na kuntu. Lakini kwa leo...
  3. H

    JamiiForums Tanzania Mtu mwenye degree anapoenda kujifunza kazi ya waliokosa Elimu ni ujumbe gani tunapata kuhusu Elimu yetu?

    Elimu inaweza kumsaidia mtu alieyeipata aweze kutumia mazingira yake kama fursa ya kujipatia rizki yake ya kila siku ikiwa tu elimu hiyo imempa uwezo mhitimu wa kuyamudu mazingira yake, jambo ambalo halipo katika nchi zetu za ulimwengu wa tatu. Mi nafikiri na ninaamini kwamba ni wakati muafaka...
  4. H

    JamiiForums Tanzania Rais Magufuli amtuma Waziri Mkuu kumuwakilisha mazishi ya vifo vya Morogoro, atangaza siku 3 za maombolezo

    Uzinduzi sio jambo la kushtukiza, bali ni jambo ambalo huwa linaratibiwa kikamilifu kujua kiwango cha usalama wa Rais. Lakini inapoonekana kwamba usalama ni mdogo basi mambo wawili yanaweza kufanyika 1. Kumtuma mwakilishi 2. kuahirisha tukio hadi wakati mwengine. Narudia tena, popote...
  5. H

    JamiiForums Tanzania Rais Magufuli amtuma Waziri Mkuu kumuwakilisha mazishi ya vifo vya Morogoro, atangaza siku 3 za maombolezo

    Hakuna rais duniani anaeweza kutembelea mahali ambapo upembuzi yakinifu unaohusu usalama wake haukufanyika kiundani akatembelea mahala hapo. Kumtuma mtu wa kumwakilisha itoshe kuona kwamba mheshimiwa rais ameguswa na msiba huu.
  6. H

    JamiiForums Tanzania Special thread: Interesting (best) Quotes | Misemo yenye hekima ndani yake, Nukuu

    maji yamekorogeka...
  7. H

    JamiiForums Tanzania Je, Udini nani wa kuukomesha mtiririko wa udini unaoanza kuibuka ndani ya Watanzania?

    kuna mambo ya kuchangia lakini sio haya na mfano wa haya. Cha msingi kila mtu ajiandae kwa maisha yake yeye binafsi na kizazi chake ikibidi kwa maisha mazuri baada ya kufa.
  8. H

    JamiiForums Tanzania Nakushukuru BABA Askofu kwa majibu yako mazuri,lakini bado nina maswali.

    Anhaaaa, sasa mathalani mume kapoteza uwezo wa kufanya tendo la ndoa na mke angali kijana mbichi. Kwahiyo akae hata miaka 20 bila kupata haki hii ya msingi ya kimaumbile!!??. Binafsi naheshimu dini zote, lakini kuna baadhi ya mambo katika baadhi ya dini mi nadhani yapitiwe upya. Miongoni mwa...
  9. H

    JamiiForums Tanzania CCM jipambanueni kwa hili la watumishi

    Ni ukweli usiohitaji kifaa chochote kuubaini kwamba watumishi ni sehemu ndogo sana ya wapiga kura wa nchi hii kama ulivyosema. Lakini kumbuka kwamba watumishi ni sehemu ya hao unaosema ni sehemu kubwa ya wapiga jura. Wapo ndugu zao, watoto,wazazi,wakwe,mashemeji na marafiki ambao kwa kiasi...
  10. H

    JamiiForums Tanzania Huu nao ni UDHAIFU...

    Hapo ndipo tatizo lilipo, ila tuzidi kuomba Mungu na pengine tumuombee mwalimu mkuu...
  11. H

    JamiiForums Tanzania Huu nao ni UDHAIFU...

    Kama wanafunzi wanapiga kelele darasani na kiongozi wa darasa (ambae ndie muangalizi na mdhibiti namba moja wa nidhamu na mienendo ya wanafunzi wenzake darasani) ameandika majina ya waliopiga kelele darasani (katimiza wajibu wake kama kiongozi wa darasa)kisha akapeleka kwa mwalimu wa darasa ili...
  12. H

    JamiiForums Tanzania Mbunge Selemani Bungara (CUF) aeleza bungeni alivyokataa kununuliwa na CCM

    Kama mambo yapo hivi, basi kazi ipo...usubiri tuone 7bu yajayo yanachefua zaidi.
  13. H

    JamiiForums Tanzania Dkt. Reginald Mengi kuja na simu janja za bei rahisi (IPP TouchMate), uwezo wa kukaa na chaji ni wiki nzima

    Kama imefika mahala tunaweza kuwa na teknolojia ya kutengeneza simu basi tunaelekea pazuri na future is full of promise. lakini wasiwasi wangu ni kwamba bado tunaendelea kutumika na wageni waliohamishia mitaji yao Africa kutafuta soko,nguvu kazi rahisi na malighafi ikiwa tuu kitakua kiwanda cha...
Back
Top Bottom