Hapo kuna kitu hujaelewa mkuu..
Ukikopa TZS 100,000 let say riba ni 18% inamaana ilitakiwa urudishe TZS 118,000.. Kwahyo ukipewa TZS 82,000 then ukaja ukarudisha TZS 100,000 ni jambo lilelile. Wanachofanya wao wana secure riba yao ili we ulipe principal amount... Shida ya hii mikopo ni jinsi...
Mimi nililipia kama miaka 3 iliyopita, nililipia kwa kutumia Vodacom Airtime kama means ya kufanyia malipo Playstore..
Natumia hii njia pia kulipia Apple Music kila mwezi.
Vodacom Mastercard iligoma.
Wanathamini Saikolojia kwa sababu, Kila kitu kinaanzia kichwani.
Nakumbuka wakati niko chuo mwaka wa mwisho nliisoma Psychology in Human Behaviour kama somo la ziada, aiseee imenisaidia sana kuishi na watu na kufanya majukumu yangu ya kazi vizuri (nature ya kazi yangu nakutana na watu wengi...
Tatizo watu mnaongea kwa mihemuko.
Fine zipo ku discourage kitu fulani, hata hyo fine ni ku discourage watu kuzalia nyumbani kwa sababu kuzalia nyumbani kunahatarisha zaidi maisha ya mama na mtoto..
Hicho ni kitu cha kawaida sana hasa maeneo ya vijijini. Tuache kuishi kizamani
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.