Recent content by Hamuyu

  1. H

    JamiiForums Tanzania Kinachoendelea Zimbabwe: Nchi yawekwa chini ya Jeshi, Mugabe kung'olewa?!

    Nzuri sana jeshi limefanya vyema sana
  2. H

    JamiiForums Tanzania USHAURI: Tubadili mfumo wa viti maalum, vifutwe!

    Utaratibu uliuandika hapa ni Wa kiccm zaidi, kwa baadhi ya vyama tumeshuhudia sifa ya kwanza uwe kimada Wa viongozi, na undugu
  3. H

    JamiiForums Tanzania CHADEMA kukabidhi Mkanda (CD) ya mauaji ya wanachama wake Soweto

    Hawana kitu kama hicho, no Porojo tu za Mr zero
  4. H

    JamiiForums Tanzania Hotuba ya Zitto Kabwe kuaga rasmi Bungeni - Machi 20, 2015

    Kagezi alikula mzigo kwa Josephine Mushumbuzi baada ya babu kushindwa majukumu yake ya nyumbani wakamsingizia kijana wa watu anataka kumuua babu Slaa, wanaishi kimajungu majungu tu, mwaka huu ndio mwisho wa Chadema, Zitto tunakuamini
  5. H

    JamiiForums Tanzania Mwigulu Nchemba anaongea ndani ya Dakika 45 ITV

    Huyu jamaa namkubali, ukiacha njama za kigaidi kwenye chaguzi, mengine namkubali
  6. H

    JamiiForums Tanzania Msome Zitto Kabwe: Kazi ya mwisho kuifanya kama PAC Chairman

    Tunamuomba Mwenyezi Mungu akulinde na daima tutamkumbuka mzalendo Zitto, wanao kuambia wewe ni msaliti wamelifanyia nini taifa hili? Tutaendelea kukuamini na kuthamini kazi kubwa unayoifanya kwa taifa letu tunahitaji akina zitto wengi nchini.
  7. H

    JamiiForums Tanzania Kipima Joto ITV:UKAWA ni Sons Of Isaack

    Bramo mtoa hoja uliyebandika andiko lako kwa maoni yake kwenye kipindi hiki cha kipima joto amesoma na amecheka sana, ni kweli kabisa tukaze buti.
  8. H

    JamiiForums Tanzania Jaji Warioba afunguka, asikitishwa na kauli za viongozi wa CCM

    ccm ni majanga wamekua muflis kiakili na kifikra
  9. H

    JamiiForums Tanzania Jumatano maandano makubwa zanzibar nzima yakiongozwa na makamanda wa ukawa

    tutashiriki kuhakikisha katiba mpya inapatikana
  10. H

    JamiiForums Tanzania Nafasi za kazi Qatar

    HIZI NAFASI ZA KAZI qatar bado zipo,kama zipo tunaomba muongozo. PAVU JUMA ABDALLA ZANZIBAR.
  11. H

    JamiiForums Tanzania Wimbo wa Taifa wa Zanzibar

    Muungu ametubarikia unguja na pemba pia, sote tunashangiria, jamhuri kutuletea.
  12. H

    JamiiForums Tanzania Yaliyojiri: Sherehe za miaka 50 ya Mapinduzi ya Zanzibar

    Tupo ndani ya uwanja wa amani, uwanja umejaa na umependeza tutawaletea matukio yote. viongozi mbali mbali wameshakuwepo
  13. H

    JamiiForums Tanzania wanawake na mitazamo yetu kwenye mahusiano: kwa wanawake tuuu!!!

    duh somo limeeleweka lakini mbuzi lazima ichomwe
  14. H

    JamiiForums Tanzania Mganga Mkuu wa Mkoa wa Dar afariki

    naomba kujua Dr Maro ni huyu Daktari bigwa wa moyo ambaye ana clinic yake hapa posta? nipeni taarifa ya ufahamu wakuu
  15. H

    JamiiForums Tanzania Mwee!!!kutana na wanawake wa iran maninja!

    Tena Sheria bila shuruti
Back
Top Bottom