Ndani ya meli,watu makabila tofauti walikua na mizigo,meli ilizidiwa ilibidi mizigo ipunguzwe,Mzungu akatupa computer, akasema"kwe2 zpo tele,Mchina akatupa box la cmu akasema"kwetu zipo tele" Muhindi Akamwaga kiroba cha tambuu akasema kwetu zipo kibao, Mmasai akatupa shanga.. Mchaga anahaha...