Nyanidume
JF-Expert Member
- Oct 24, 2012
- 2,411
- 1,153
Pole sana mkuu ila majukumu ni sehemu ya maisha ya mwanadamu na nafikiri hayo majukumu yameongezeka zaidi baada ya kusikia unadaiwa shiling laki sita ilizokopa serikali kwa niaba yako.NIpo ndugu yangu. Majukumu tu..