Yaweza zungumzwa kwa kejeli ya aina yoyote ile lakini sheria inasemaje washauri wa jide wanapaswa kufikiri mara mbili hasa mwenyewe jide Heshima ni muhimu Zaidi kuliko mali !!!
Mkuu ni Kweli ni Tatizo japo inawezekana lazima utakuwa na cha ziada wenzetu wale tunaowaita celebret tatizo lao linaanzia hapa kwa ndoa zao kuvunjika kitamtazamo mume na mke kila mmoja hupenda kummiki mwenzie itakuwaje mwenza wako hana sifa kama zako yule mama makamo wa Raisi yalimshinda
Yuko sahihi zaidi pengine anaamini hakuna jambo baya linaloendelea lakini lolote huenda likatokea hata hiyo hali ya kutopenda kumkosa huyo jamaa chanzo cha tatizo kwanini unapaswa kuwa katika halihiyo kwa mumeo tu waache wenyewe watengeneze na wewe tengeneza yako ndoa lakini bahati mbaya sana...
Amani ya bwana itushukie wote.unahitaji matibabu ya saikoloji nionavyo mimi bado unaguswa tukio la kuachana na babayao wote ni watoto wako kuwa kwao wanaume hawajapanga na babayao ukikumbuka watoto wako nawao wakiume wamo kwa namna yoyote ile.
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.