Recent content by hammidah

  1. hammidah

    Kwa watu wazima tu 35+

    Mh makubwa haya
  2. hammidah

    Jinsi ya kuwaridhisha wazazi...

    Kweli wazazi ni mungu wa dunia
  3. hammidah

    Hodiii.....!

    Jamani kumbe tunkosea kupitia mlango sio
  4. hammidah

    nimeamua niweke picha ya uume wangu

    Mbona picha siioni?
  5. hammidah

    Mwanamke wa kirangi

    Hongera sana kwa kupata mke wa kirangi,na asante kwa kutaka ushauri pia,kuwa makini na hiyo kabila mana makabila baki yanayo oa hapo wanashindwa zaidi ya hapo wanaoana wao kwa wao sikushauri kuoa
  6. hammidah

    Kwa Wanandoa Wote...With Love and Care

    Bado sijawa mwanachama wa TAMU napenda kujiunga nifanyeje?
  7. hammidah

    Kufanya mapenzi na mke wa mtu au wake za watu kuna faida gani,,,,?

    Jaribu kumunya, mweleze afanyayo yatmgeukia pia kama si kwa mkewe kwa watoto wake, mwelimishe aache upuuzi huo sio urijali mwisho wa siku anaishia kasha,nadhani hajui kubadilisha kila dizn ya uchi ni kiwango kikubwa cha kupata kansa
  8. hammidah

    Kwa nini wake za watu (majority) hamuwezi kukituliza

    Habari wakuu,siku zote mwanamke ndo anaeoneka hana mana,mke wa kukigawa kama njugu,naomba uliza kitu anagawa kwa kusimama au kwa kutongonozwa na wewe mwanaume? au wewe mume wa mtu unahaki ya kufanya upuuzi huo na secretary wako kwani hujaacha mke nyumbani mpaka ufanye huo upuuzi offisini...
  9. hammidah

    Queen of the Gorillas (Malkia wa Masokwe)

    :A S-heart-2: like it.
  10. hammidah

    Kicheko cha mwisho cha mama yangu

    Pole sana endelea kumuomba MUNGU
  11. hammidah

    Nifanye nini cha Ziada????

    Kupata mtoto ni majaliwa ya muuba wetu,umeamua kutoka nje ili uje kama wewe umzima au la na je yeye akiamua kutoka nje utamfukuza?fikiria kwanza kabla hujachukua maamuzi.
  12. hammidah

    Mume wangu anacheat nifanyeje?

    Asante najitahi sana.
  13. hammidah

    Mume wangu anacheat nifanyeje?

    Ahsante mpendwa,vithibitisho vyote ninavyo na sikupenda kukisia hata kidogo mana mwenyezi mungu hapeki kukisia,baada ya hapo nilimuweka chini na akakiri hatorudia,nikaona nibadilike kidogo labda kunatatizo mahalstill tatizo liko palepale,mdodo wangu nimefikia hatua hata mapenzi kunako 6*6...
  14. hammidah

    Mume wangu anacheat nifanyeje?

    Naomba msaada wenu mume wangu anacheat nifanyeje? Mbaya zaidi na watu ambao wengine kawatambulisha kwangu,na ilifikia hatua nilipokwenda jifungua alileta mpaka ndani. Nikiuliza tatizo nini hasemi, SMS kila siku goodnight bby love u ukiuliza sina mana ya mapenzi nisaidieni wana jf nianye...
  15. hammidah

    Girls mnafanya wanaume wawakimbie ila hamjui

    Unavyoanza uhusiano wenu inategemea ulijinadi vipi,may be ulijitapa hela kwako ni kama godoro unalalia hata kama ni mimi nitaomba kila siku lol
Back
Top Bottom