Uzi mzuri sana, nimejifunza na kuthibitisha yale yaliyo kuwa yanaleta utata,
Kwa kweli Pande zote hamna anaependa kusalitiwa, na kila mmoja kwa mara ya kwanza hua anadhani kwamba kua na mpenzi ni kujenga na kua na amani na furaha muda wote: Vile utakavyo mpenda msichana ama mvulana au mwanamme...
Mimi natoa utabiri wangu, kulingana na historia ya Taifa Tanzania kukosa nafasi mara kwa mara, Bingwa wa Michuano CAF U17 2017 SERENNGETI BOYS AKA TANNZANIA TUTABEBA UBINGWA.
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.