exceptional lady
JF-Expert Member
- Oct 16, 2015
- 332
- 248
Sio wakwako, so long ni demu tafuta wife material mkuuDemu wangu anapenda sana kuchati na marafiki zangu wa kiume..namkataza ila hasikii..
Sio wakwako, so long ni demu tafuta wife material mkuuDemu wangu anapenda sana kuchati na marafiki zangu wa kiume..namkataza ila hasikii..
[emoji57] [emoji57] [emoji57]Mimi nakerwa na wanawake ambao hawana chura![emoji1]
Haa haaa haaaa. DuuuuhHuyo atakuwa ni yule mwenye ID ya housegirl![emoji30] [emoji30] [emoji30]
Ni kweli hujui haya mambo mkuu?Ngoja niwe mkubwa.....!
demu, mke au mchumba?Pesa sina lawama kibaoo
UnaibiwaDemu wangu anapenda sana kuchati na marafiki zangu wa kiume..namkataza ila hasikii..
Kwanini!na akutoe ngeu kabisa
Mimi pia nahisi hivyo..!Unaibiwa
Yaani mke wangu tabia yake mbaya ni moja tu tena ndio hii ya chake chake na changu chetu,sio siri ukiondoa tabia hii mke wangu hana tabia nyingine mbaya ambayo inanikeraTabia ya "changu changu chako chetu"
Hii tabia mbaya sana.
Alaf weweeHaya sasa wanaume mkuje mtiririkee tirìiiiii[emoji2]
Wanawake wengi sana hiyo tabia wanayo inabidi ukae naye umueleweshe.Yaani mke wangu tabia yake mbaya ni moja tu tena ndio hii ya chake chake na changu chetu,sio siri ukiondoa tabia hii mke wangu hana tabia nyingine mbaya ambayo inanikera
Yaani sipendi unamtongoza mdada badala akubali au akatae anaanza figisufigisu mara ohhh na mtu wangu bora tuwe marafiki a.k.a nataka uwe kaka yangu. Ujinga huu sipendi kabisaa bora tupotezeane tuu kama sio siyo size yako si upite hivi. Mi nachukia yani mpaka napasuka. Ukipotezea anaanza ohh mbona umenisusaa. blali fuu huu ni upimbi
Nimejaribu nimeshindwa labda hiki ndio kilema chake,acha tu nivumilieWanawake wengi sana hiyo tabia wanayo inabidi ukae naye umueleweshe.
umechukia sana.we si Wa mchezo mchezoYaani sipendi unamtongoza mdada badala akubali au akatae anaanza figisufigisu mara ohhh na mtu wangu bora tuwe marafiki a.k.a nataka uwe kaka yangu. Ujinga huu sipendi kabisaa bora tupotezeane tuu kama sio siyo size yako si upite hivi. Mi nachukia yani mpaka napasuka. Ukipotezea anaanza ohh mbona umenisusaa. blali fuu huu ni upimbi
Hakuna cha ukilema hapo, mwambie maisha yamebadilika aachane na dhana za kale hizo. "Equality" ndio trending "Trademark"Nimejaribu nimeshindwa labda hiki ndio kilema chake,acha tu nivumilie
Ni kumpiga chini tu.Yaani sipendi unamtongoza mdada badala akubali au akatae anaanza figisufigisu mara ohhh na mtu wangu bora tuwe marafiki a.k.a nataka uwe kaka yangu. Ujinga huu sipendi kabisaa bora tupotezeane tuu kama sio siyo size yako si upite hivi. Mi nachukia yani mpaka napasuka. Ukipotezea anaanza ohh mbona umenisusaa. blali fuu huu ni upimbi
Hii ni kutokana na mfumo tulionao sisi wanaume wa kushindwa mara nyingi kuongea yale yanayotukwaza kwa namna yoyote ile kwenye mahusiano, ndoa na hata urafiki. Na tathimini za kiafya pia zinaonesha wanaume wengi hufa kwa “stroke” kwa sababu ya kutunza mambo mengi ya siri ambayo hukutana nayo kwenye mahusiano na hivyo kupelekea umauti wao.