Jamani wanajamii kwa hili mi namsadiki makonda kwani watu wetu wa jirani tunaishi nao vizuri na hatujui kesho zao kwani hizo ni picha na zinaonyesha alivoishi nao hapo before na sasani waheshimiwa hivo hawezi futa .maisha yanyuma jamani tuwe wakweli na si ushabiki mi sioni kibaya hapa kwani hata...
Kwa kasi ya JPM naikubali kabisa naunga mkono, ila kuna kitengo hiki cha Zima moto ni muhimu kwa maisha ya jamii za chini lakini hakina maboresho tangu zama kwani ukiwaita hapa mara gari bovu, halina mafuta, likija maji halina yani hata watendaji ni wazee hata sijui hakuna muda wa kikomo cha...
Mueshimiwa unahoja nzuri lakini mazungumzo ya nini wakati wananchi walishapiga kura maana yake atangazwe mshindi na sio mazungumzo ya kumsaidia raisi huwezi lazimisha jana iwe leo haiwezekani weka wazi tu ili tuone na maelewano ya upande wa pili ambao tunauhofia lakini naamnini woga wetu ndo...
Sasa nakuomba mwambie kama kaonewa kufukuzwa mwambie aseme nani alimwambia aachie makontena bila kulipiwa kama unamficha basi ndo utakuwa sadaka we sema kwani hata mueshimiwa rais kasema hajawahi kuruhusu mtu akwepe kodi hivo ni ujanja wenu .tu
Mtoa mada jifikirie alie uwawa alikuwa nani?Mauro yake yametokana nanini?na je kiini cha siasa hii majibu unayo sio siasa tu fikiri kama ndo baba yako .,ikiwezekana cdm tanzania wauzurie mazishi ili tuonyeshe dunia dhidi ya nduli huu ukiwa mkweli unauwawa na kwe mazishi wavae kitambaa mdomoni na...
Ukweli usiofichika marehem mawazo ameuliwa na wahusika wenyewe kuna kila cheche zinaonesha Mauti yake yametoka kwe system fulani ambayo hata kimtazamo inaonekana ni wapi jibu Lipo wazi na kwa maslahi ya system tu.swali akili nguvu mbinu zilizonekana juu yake ni halali au ndo .....uhuru wa kujieleza.
Lisu ana hoja ya kweli kwani hii nchi ni jamuuri hivo kiukweli haina rais ila tanganyika ina rais ndo maana hadi sasa bunge halina wabunge wa baraza la wakilishi kama katiba ya muungano inavosema hivo magufuri hadi sasa ni rais wa tanganyika na si wa Tanzania.
Kweli kabisa yani morogoro hasa hapo matombo ni kwetu lakini maendeleo hakuna kabisa nae kikubwa elimu kwani watu hawana mwamko kabisa na wanasiasa sio waminifu wamechukulia udhaifu kweli inauma sana .,ila kubadili hali hio hapa matombo kwanza watu wapate elimu..naomba watu na asasi mbalimbali...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.