hamad123
Member
- Oct 30, 2015
- 17
- 1
Kwa kasi ya JPM naikubali kabisa naunga mkono, ila kuna kitengo hiki cha Zima moto ni muhimu kwa maisha ya jamii za chini lakini hakina maboresho tangu zama kwani ukiwaita hapa mara gari bovu, halina mafuta, likija maji halina yani hata watendaji ni wazee hata sijui hakuna muda wa kikomo cha kutumika.
Naomba muheshimiwa na waziri mteule anza na kitengo hicho kiboreshwe hasa magari na watendaji. Aibu!
Naomba muheshimiwa na waziri mteule anza na kitengo hicho kiboreshwe hasa magari na watendaji. Aibu!