Recent content by Hamad Shosi

  1. H

    Karibu Dodoma, hii ndo Dodoma kwa Ufupi

    Kwa omba omba si kweli siku ya ijumaa ndio usiseme ukimuona kipofu wa macho mawili ujuwe nyuma yuko wajicho moja
  2. H

    Miezi tisa ya urais, Magufuli ameenda Chato mara mbili

    Kila pempe ya nchi yanayofanyika anayajua sema watanzania kulalamika ni jadi yetu hata utawala wa pungo kwa nchele watu walilalamika pesa hakuna msubirini mwinyi arudie
  3. H

    Rais Magufuli atembelea msikiti na makanisa Chato, anukuu 'asiyefanya kazi na asile'

    Mbona mawaziri hamuwasemi nyinyi ni mtu moja mawaziri wenyewe kimya wala hawasikikin ni kikwangwala na mbarawa tu ndio wanaosikiki hao wasiosikika sioni wakilalamikiwa nyinyi ni magufili ndio mliomuanda ma peke yake kwa tarifa ana pasha kiporo kile cha kasi mpya maisha bora kwa kila mtanzania...
  4. H

    Kigwangalla aagiza hospitali nchini kuzuia Kamera na simu zenye kupiga picha wodini

    Kwa hapo anataka kusunda maovu kila kitu kwa sasa ni wazi wazi
  5. H

    Magufuli unasumbua watumishi wa umma. Watakosa motisha.

    Simlisema kikwete ana cheka cheke kikwete ana safiri sana kikwete mtalii mara makufuli kila mara ana kwenda kwao haendi ulaya sasa tushike lipi mheshimiwa raisi ukilegeza basi ujue wananchi masikini umewaMaliza hivi hivi kama huyu kigwagwala anakifaa sana kiogozi mzuri niyule anaesikia tatizo...
  6. H

    Mama mkwe ananipiga mizinga balaa

    Kama ni mizunga vumilia hata yeye alilea kwa tabu usione vyaelea vimeundwa ndio nyie mliobanwa na makufuli mbona zama za kikwete ulikuwa hulalamiki bado mtakula mapera
  7. H

    Tundu Lissu hajawahi kunyamaza na hatonyamazishwa kamwe

    Bado sija amini kama watatokea wapinzani wakweli kama hamisi kalage na richadi kilango na mbonge munanga na kasela bantu lakini hawa akina shibuda na choyo hawa ni sawa na mpiga marimba anacheza na makalio tukubali matokeo
  8. H

    Mbona Taifa kama halina furaha? Hofu, Chuki, mitafaruku imetamalaki

    Huyu makufuli akisikiliza malalamiko msalato hatafika atashia kwa habiba
  9. H

    Rais akikosolewa ndani ya chama "anawapoteza",nje ya chama "anawashughulikia"bila huruma,serikalini

    Nyerere walimpachika majina mchonga akanyamaza wakampa jingine musa akanyamaza hili habiliki alifoka usiku kucha ali sema mchonga ni jadi yake musa ali wakomboa wana waiziraili lakini hili hambiliki ataondoka na mtu nasema wewe mheshimiwa makufuli funga ufumbe macho funguo tupa porini
  10. H

    Wasanii na ujambazi; Bob Junior achunguzwe

    Sisi ni wazazi tusi shabikie moja kwa moja
  11. H

    Kuna sababu gani mimi kuoa?

    Mkono wakulia ni mke mkumbwa na mkono wa kushoto ni mke mdogo wewe panga zamu waoa nini
  12. H

    Wana Bagamoyo tunaitaka meli yetu MV DSM

    Mombo ndivyo yalivyo kuku kamtoboa jicho kicheche
  13. H

    Vigogo wawili ATCL wasimamishwa kazi kwa kosa la kumchagua rubani asiye na sifa kusoma Canada

    Mimi niko kigoma kila nikiangalia sioni kongo wala rwanda naona maji
  14. H

    Rais Magufuli na Awamu ya Tano Wasipokuwa Makini Wataipeleka Tanzania Kwenye Vurugu

    Mbona tume sahau mapema wakati wa kampeni watentaji wangi wa serekali walikua makufuli hawamtaki wale wale ndio wa saidizi wake wata furunda lawama kwa makufuli raisi mzuri sana waugwana wa adilifu wana muombe mungu usiku na mchana mimi nikiwa moja wapo nimeteseka sana na haki zangu
Back
Top Bottom