kasymon
Member
- Oct 16, 2015
- 94
- 55
Wakwe wengi wasumbufu ndugu... Ata sio kua ana uwezo au hana. Nadhani mtu akioza binti yake anafikiri kajipatia suluhisho la kifedha... Sa ukikuta asiekua mstarabu ka huyo wa kwako ndo kero zaidi. Kama una uhusiano mzuri na mkeo ongea nae kuhusu swala hilo. Yeye ndo ataweza kusuluhisha bila wewe kuonekana vibaya. La sivyo utaumia tu kaka.Wandugu natumai mko poa,
Huyu mama mkwe wangu jama ananinyima raha hasahasa pale sim yake itapoita imekua kama fomla akinipigia ni mizinga ya hela tu,hana shida kivile anajiweza lakini anataka kula vyangu tu,nimemchoka.Nailea familia ya mke wangu kuliko yangu.nipeni ushauri nifanye nini ili mizinga ipungue?