Hamad Shosi
Member
- Jul 22, 2016
- 40
- 10
Sisi ni wazazi tusi shabikie moja kwa moja
Ujambazi ni wizi wa kutumia silaha za moto...Tujiulize kina ude ude walikuwa na silaha za moto?Hivi nini maana ya ujambazi? hivi kila wizi ni ujambazi ? na je kila ujambazi ni wizi? nafikiri kuna mstari wa kutenganisha haya mambo,kwa maoni yangu waliouwawa ni wezi,ni vibaka na police walitumia nguvu nyingi kupita kiasi [excesive force]
Ujambazi ni wizi wa kutumia silaha za moto...Tujiulize kina ude ude walikuwa na silaha za moto?
Duuh hii issue sio ilie ya mwanahamisi pale grocery kwake....huyo mtoto alikufa kifo kibaya sanaimenikumbusha kijana mmoja aliuawawa kwa makosa ilikuwa hivi kijana ni mgeni hapo mtaani alikwenda kumtembelea mjomba wake akawa ametumwa dukani kwenye mpesa atoe hela kutokana na ugeni akangia kwenye kiduka ambacho ni grocery hawana mpesa na mwenye hicho kiduka hakuwepo ndani basi kijana alipoingia ndani hakuona mtu akatoka ile anatoka akakutana na mwenye grocery badala ya kumhoji kijana yeye akasema mwizi mjini hakuna dogo watu wakafika kijana akasema amekuja kutoa hela kwenye simu watu hawakusikiliza matokeo yake wakamwua kijana wa form 4 bila kosa ilikuwa ni masikitiko hata kwa mwenye grocery pale alipogundua ukweli baba ya kijana alimshitaki mwenye duka alikuwa mwanamke na aliwekwa ndani miaka 3 ndugu wa mwanamke wakaenda kumwomba baba wa kijana mwisho alijitoa kwenye kesi baada ya kusema alishampoteza mtoto wake hana haja ya kuendelea na kesi sijajua kama yule mwanamke alitoka au la.......inaweza kutokea kosa kama hilo.....lakini wezi/vibaka wanakera sana
Kwanini walishindwa kuwakamata wakiwa hai wakati hawakuwa na silaha za moto!
Akamaatwe tuHoja yko haina mashiko km ndo ivyo basi weusi nao wachuguzwe maana yule group member mwenzao lord eyez nae n mwizi wa vifaa vya magari je na wakina joh nao n wezi