Recent content by halongbay

  1. H

    JamiiForums Tanzania Hivi Maprofesa na PhD candidates wanapublish wapi paper zao hapa Tanzania?

    Mkuu una hoja ya msingi kazi/publications za academia wengi wa Afrika ni non accessible, huwezi kuzipata. Pili, ni Afrika tu ambapo mtu anaweza akawa waziri, CEO wa Bank Kubwa n.k na akaweza kupata PhD kwa parttime ndani ya kipindi cha miaka mitatu. Kimsingi hakuna transparency katika...
  2. H

    JamiiForums Tanzania Kumbe Wakoloni walishajenga mabwawa ya umeme kama hili la Nyerere kwa kitambo sana!

    Sometime huwa Waafrika tunajidharau sana. Tumechelewa ila hii project, reli tumepiga hatua ingawa tumechelewa. Ili nchi iendelee lazima uwe na energy security, last mile road/ rail infrastructures na ujuzi (elimu) sisi tulianza na siasa safi, viwanda na kilimo. Kwa Marehemu JPM pamoja na dosari...
  3. H

    JamiiForums Tanzania Simba waliokula watu katika bonde la Rufiji

    Dah Mkuu umenikumbusha mbali sana. Story yako ina ukweli. Mwishoni mwa 1990s kabla daraja halijakamilika nilivuka hapo Rufiji river nikitokea Dar nikiwa na lika chini ya 16. Lengo lililkuwa kwenda Nangurukuru. Tulifika hapo jioni kivuko hakifanyi kazi na ilikuwa lazima asubuhi niwe...
  4. H

    JamiiForums Tanzania Miaka michache ijayo wadogo na watoto wetu wataoa makahaba wastaafu

    Pole Mkuu! Upo sahihi kinadharia! "It takes two to tango" Ila Mkuu sometime katika baadhi ya nyanja ni ngumu kwa jinsia ya kike na kiume kuwa na usawa timilifu. Dunia tangu enzi ime set benchmarks ambazo kiuhalisia ni ngumu kuzibadilisha hata katika zama hizi za 50/50. Mathalan, Mwanaume akila...
  5. H

    JamiiForums Tanzania Bar kutumia wanawake maids kama kivutio cha biashara ni sawa na biashara ya danguro?

    Mkuu udhaifu mkuu katika maamuzi ya mwanaume ni mvuto wa mwanamke. Hivyo mwanamke akijiweka katika mazingira ya kuvutia na kutamanisha uwa na uwezo wa kumfanya mwanaume afanye maamuzi kulingana na matakwa yake. Kwa ufupi mvuto wa mwananmke umfanya mwanaume apoteze uwezo wa kutumia akili...
  6. H

    JamiiForums Tanzania Maisha ya Mwanamke Mjini: Kujitegemea Bila Connection. Ni Kweli au Ndoto Tu?

    Mkuu unaweza ukawa sahihi kwa kiasi kikubwa! Ila wapo wanawake wapambanaji ingawa wachache ambao wamepata mafanikio pasipo wanaume kuwa factor. Wanawake hao wachache wamepata mafanikio waliyonayo kwa kutegemea maarifa, juhudi na maamuzi sahihi. Lakini pia ni kweli wanawake wengi ambao wanajitapa...
  7. H

    JamiiForums Tanzania Nyumba za Dar zinazouzwa bilioni tano, zinastahili?

    Wakuu Tz kikatiba ni nchi ya kijamaa lakini tangu 1985 baada mchonga kuachia, TZ ni Taifa la Uchumi huru ambapo 95% ya bei za biadhaa mbalimbali ikiwemo ardhi uamuliwa na nguvu ya soko (supply & Demand). Serikali haiweki mkono isipokuwa tu pale Serikali inapotaka kutaifisha kwa maslahi ya umma...
  8. H

    JamiiForums Tanzania Nyumba za Dar zinazouzwa bilioni tano, zinastahili?

    Upo sahihi Mkuu
  9. H

    JamiiForums Tanzania Nyumba za Dar zinazouzwa bilioni tano, zinastahili?

    Mkuu kuna maeneo yana hiyo thamani: sqm 4000 beach plot masaki na Oysterbay ni Bilioni 6-8 na siyo rahisi kupata. Mdau anashangaa bei ya Nyumba ila determinant ya value ni location kama alivyosema. Mathalani, Bei ya kiwanja na rent ya North London ni tofauti sana Nottingham au Wolverhampton...
  10. H

    JamiiForums Tanzania First time nadrop Newyork city I was shocked

    Manhattan hasa subway inaongoza Duniani kwa kuwa na mapanya wengi na wakubwa. Kunuka ni uongo labda Bangi Treni chafu siyo kweli Uhalifu uliopo ni visasi na siyo udokozi wala ujambazi kule unalala mlango wazi. ndio maana hakuna fance wala walinzi binafsi majumbani Stress ya maisha magumu ni...
  11. H

    JamiiForums Tanzania First time nadrop Newyork city I was shocked

    Hapana New York ni ya kipekee hasa Manhattan Jiji ambalo kamwe halilali, maisha yapo chini ardhi, density ya kutisha, Manhattan Skyscrapers za kutisha, mitaa yote imenyooka na aina majina bali namba, Treni za ardhini na kelele za sauti road. Umeona wapi! Tokyo ina majengo marefu na density...
  12. H

    JamiiForums Tanzania First time nadrop Newyork city I was shocked

    Hapana New York ni ya kipekee hasa Manhattan Jiji ambalo kamwe halilali, maisha yapo chini ardhi, density ya kutisha, Manhattan Skyscrapers za kutisha, mitaa yote imenyooka na aina majina bali namba, Treni za ardhini na kelele za sauti road. Umeona wapi! Tokyo ina majengo marefu na density...
  13. H

    JamiiForums Tanzania Uwekezaji wa majengo haulipi

    Recoup katika real estate ni miaka 8-15. Hivyo unapofanya uwekezaji katika eneo hili unapaswa kulijua hili. Kuhusu kulipa au kutokulipa kwa uwekezaji kwenye majengo siri yake ipo kwenye location. Ndio maana majengo yenye zaidi ya miaka 100 yaliyopo msasani beach, upanga yana return kubwa kuliko...
  14. H

    JamiiForums Tanzania Uwekezaji wa majengo haulipi

    Mkuu umeongea vema.
  15. H

    JamiiForums Tanzania Naomba msaada wa ushauri wa kisheria juu ya mgogoro huu wa ardhi

    Mkuu kesi za aina hii ni ngumu na zipo nyingi na uchukua muda mrefu kukamilika. Kwa ufupi akiwa na facts zinazothibitisha kuwa yeye ndiye mmiliki halali wa awali na wengine ni wavamizi anashinda kesi. Ukweli mchungu ni kuwa Negligence katika usimamizi na uendelezaji unampa Rais uhalali wa ku...
Back
Top Bottom