First time nadrop Newyork city I was shocked

First time nadrop Newyork city I was shocked

Midtown Manhattan.

Jiji lina mengi sana hili.

Nilivyoingia kuna siku nilikiwa najieleza kwa Mmarekani mmoja kuwa "I am not from here". Namuona yeye Mmarekani mwenyeji.

Na yeye akaniambia "I am also not from here, I am not even from the Northeast".

Yani mimi nilivyojiona mgeni New York City natoka Tanzania, na yeye eti alikuwa anajiona mgeni katoka huko Marekani ndanindani.

Nikataka kusema lakini wewe afadhali Mmarekani, lakini nikaona dah, nipambane na hali yangu tu hatanielewa.
Huyo alikuwa anakudanganya tu alishakusoma unataka msaada utamuomba mshare naye chumba msaidiane kulipa kodi.
 
Unatoa picha mitandaoni huku kibaigwa?

1776798174006.png
 
Hamna kitu
Ukishafika nchi nyingi za Western Europe wala hata hautaona utofauti, labda kama unatokea Kimbiji moja kwa moja ukaingia.
Hapana New York ni ya kipekee hasa Manhattan Jiji ambalo kamwe halilali, maisha yapo chini ardhi, density ya kutisha, Manhattan Skyscrapers za kutisha, mitaa yote imenyooka na aina majina bali namba, Treni za ardhini na kelele za sauti road.
Umeona wapi! Tokyo ina majengo marefu na density kubwa pia lakini haifikii uniqueness ya New York.

Wilaya zake sasa boroughs (districts) that function as both municipal boroughs and counties: Manhattan (New York County), Brooklyn (Kings County), Queens (Queens County), The Bronx (Bronx County), and Staten Island (Richmond County), Westchester County.
Kimsingi, NY ni sehemu ya kipekee ambayo ni muhimu kwenda kutalii lakini hapana utulivu kwa kuishi wala siyo romantic. Pana harakati nyingi sana pengine kuliko sehemu yeyote katika hii sayari.

Sehemu ambazo binafsi naziona za kipekee kwa uzuri ni Westchester County
 
Sosho media zimeniharibia kabisa picha ya NYC. Eti umejaa panya, unanuka, treni chafu, uhalifu na umejaa watu wanaokimbizana na hela ya kodi muda wote.
 
Sosho media zimeniharibia kabisa picha ya NYC. Eti umejaa panya, unanuka, treni chafu, uhalifu na umejaa watu wanaokimbizana na hela ya kodi muda wote.
Manhattan hasa subway inaongoza Duniani kwa kuwa na mapanya wengi na wakubwa.
Kunuka ni uongo labda Bangi
Treni chafu siyo kweli
Uhalifu uliopo ni visasi na siyo udokozi wala ujambazi kule unalala mlango wazi. ndio maana hakuna fance wala walinzi binafsi majumbani
Stress ya maisha magumu ni kweli life ni tafu sana usipofanya kazi uli. Rent ipo juu sana kuliko sehemu yeyote duniani hasa Mahataan na Westchester. Apartment ya hadhi ya chini ya 3 bedrooms Mid-Manhattan haipungui USD 14,000 (TZS 35,000,000) kwa mwezi. Bronx na Brooklyn ndio Mbagala za New York huko Rent chumba kimoja ni USD 1500 kwa mwezi. Maisha magumu sana NY ndio maana watu wanakimbia wanaenda mwakaleli za USA Texas, Michigan, Missouri, Georgia n.k.
Ila ni bora kuliko Europe kiujumla kwani kazi zinapatikana kiurahisi, cha msingi uwe unapumua tu.
 
Back
Top Bottom